Assault on Dr. Ulimboka: Who Did It?

Kweli wapo pia wanaofikiria hili ni suala la tume! Sijui watu wetu wana matatizo gani!
 
"treason is but trusted like a fox..." This is true for our Government and its agencts
 
got it,it clicks something ,somewhere ,somewhat but the jigsaw puzzle is beginning to form just waitooh........phew.......wqit ....wait
 
Bila kujali, aliyemtendea UNYAMA ulimboka. Serekali haikufaidi Unyama huo??

Azimio, kumbuka kitu kimoja. serikali na huenda hata Ikulu, haihusiki na hili kwa kusema nendeni mkamteke Ulimboka, hapana. Hapa JK yuko sahihi kabisa na kutohusika na serikali. Serikali inatoa maagizo kwa Polisi na Usalama wa Taifa kwamba wakusanye habari kuhusu kwa mfano, nani wako nyuma ya mgomo wa madktari. Sasa mengine ni kutotumia tu busara eidha kwa field officers au mabosi wa polisi na Usalama wa Taifa juu ya njia wanazotumia kupata habari walizoagizwa na serikali.

Kama hawa field agents waliomteka waliagizwa na bosi wao, basi huyo bosi ni mtu mwenye madaraka ambaye uwezo wake wa kufikiri haulingani na cheo alichonacho katika chombo hiki cha usalama wa taifa, na anapaswa kuondolewa mara moja. Na ikiwa field officers walijiamulia, basi tuna tatizo kubwa sana katika vyombo vyetu vya usalama wa taifa.

Lakini angalia hili linafanana na wale "watuhumiwa" wa madini waliouwawa katika huo msitu. Ona kwamba katika ile kesi kulikuwa na baraka za "ma-afande". Si rahisi field officer kufanya uamuzi kama huu wa Ulimboka bila kuaigizwa. Hapa palikuwa na "controller" tu!
 

Your right...................the devil is in the details, when you read between the lines in the President's speech you'll get the same sentiments...........he was an obstacle which had to be eliminated
 
Azimio, kumbuka kitu kimoja. serikali na huenda hata Ikulu, haihusiki na hili kwa kusema nendeni mkamteke Ulimboka, hapana. Hapa JK yuko sahihi kabisa na kutohusika na serikali.

What incontrovertible proof do you have that shows the government had absolutely nothing to do with it?
 
more like new season of 24 series, so many jack beur in town...... this country sucks
 


Mbona hii iko wazi, hiki ndicho kilichotokea wala hauhitaji kuwa na akili nyingi sana kujua! Kwa sababu ilibidi wampe severe torture ili aweze kusema waliyoyataka na kwa sababu hakusema nafikiri ndio kilichomuokoa wakaishia kumtesa. Si unajua staili zinazotumika za kimafia.unaulizwa tuambie nani bosi wako? au nani amekutuma? ukishangaa kofi,ngumi za kutosha unaulizwa tena.ukishangaa wananyofoa jino moja,tuambie,ukizubaa lingine,tuambie ukizubaa wamevuta p*mbu,tuambie ukizubaa wamekata kidole..na mapigo ya mateke,ngumi za kifundi kisawa sawa,kitako cha bunduki in between lengo ni useme na ukisema wanaendelea na uliyowataja wewe lazima ufe ili kupoteza ushahidi.wakuache hai kesho uwalipue kwenye vyombo vya habari,ama kesho uwaeleze hao uliowataja wajue kinachoendelea.kama haujasema miongoni mwao kuna wanaoanza kujiuliza pamoja na roho zao ngumu.."May be he is innocent, May be no one is behind him on this" na hii bila shaka ndio ilimsaidia..Duuuh ngoja niishie hapa nisije nikaambiwa ulikuwepo katika kundi la hao majamaaa,haya ni mawazo tu!
 
Siungi mkono kilichomtokea Dr Ulimboka lakini najiuliza pia wanakufa WATANZANIA wangapi kwa kukosa huduma ya madaktari wetu waliogoma. Hilo moja, la pili, serikali yetu inadhani kichwa ni Dr Ulimboka pekee? Ipo siku viongozi wetu watagundua kwamba tunaigharamia sana SIASA na WANASIASA kuliko wataalamu wetu kama maDaktari, Walimu, huduma za jamii,...
 
Kuliko wakati wowote toka nimejiunga JF........Wakati huu wa Ulimboka saga nimeona ID mpya nyingi sana. Sielewi kwa nini!!!
 
La kushangaza kwenye hii sssue, victim keshataja suspects aliowaona kwa macho yake, maajabu ni kwamba hakamatwi na eti hotuba ya Rais ndo inategemewa kuelekeza uchunguzi.
Hii nchi bana.
 
Credible analysis, let us wait and see what the investigation team will bring up. Smear campaign from within or outside can also be a possibility. Dr. Ulimboka can easily be used for political purposes since he already is a political material. Thanks


 
Kwa Sababu Ulimboka amefanyika mtaji wa kisiasa, hivyo baadhi ya makundi yanaamini kujihusisha na mkasa wake kutawapa umaarufu ama kuonekana watetezi mahiri wa uma. Lakini katika hali yoyote ile, maumivu makubwa na makali kiasi kile hatupaswi kuridhika nayo katika jamii yetu. Naungana mkono na President ambae amesisitiza uchunguzi ufanyike. Tusubiri ripoti
 
Kuhusu TISS kugawanyika hilo tunafahamu humu toka kitambo sana.Ila kweli nimegunduwa kwanini JK ni mtu wa misafari, huyu jamaa hatawali nchi kwa maana ya kutawala, sasa hii inaonyesha yeye yuko juu tu huko kama mfalme, but on the ground, hali ni tofauti kabisa, polisi zimegeuka militias.

Kama anakiri kuwa inawezekana jaribio hili la mauaji limefanywa na watu wa serikali bila baraka ama kutumwa na serikali, then kinachofuatia ni uchunguzi, na kabla ya hapo, watu wajiuzulu ili kupisha uchunguzi, lakini badala yake eti watuhumiwa wenyewe ndo wachunguzi.

Yale yale ya kamati zake ie ile ya EPA, ambapo hadi watuhumiwa walikuwemo ndani.
Hili linchi hovyo sana!
 
Qoute ,Hon President Jakaya Kikwete ,Monthly State Speach
Kama Kuna Mtu wa Serikali amefanya unyama huu amefanya Kwa maamuzi yake binafsi
If our presidents admitis the government involvement ;who else would command the assassin: he is Mr Jakaya Mrisho Kikwete the authorizer
 
Mungu awerehemu na wagonjwa walikufa kwa kukosa matibabu: Amen

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…