Assault on Dr. Ulimboka: Who Did It?

The one we suspected has now given security by government.
 
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna majambazi yaliua mbwa wa polisi hapa Dar haikuchukua siku tukasikia wamekamatwa.

Juzi kati mtalii aliuawa kule Serengeti tukasika wamekamatwa, haya Arusha watu wameuliwa watu kimya, Mwanza wabunge wemekatwa mapanga watu kimya, Ulimboka amepigwa ametolewa meno na kucha inaundwa tume. Mbona hakukuwa na tume kuhusiana na mauaji ya mtalii na walioua mbwa enzi zile za nyuma?

Mungu wabariki madaktari, Mungu wabariki wote wenye kutenda mema.

Umemsahau yule Demu wa Morogoro aliyemwibia Adam Malima Mkuu. Alikamatwa baada ya siku moja tu. Yule jamaa wa Mtandao wa Zeutamu uliotoa picha ya Dhaifu hakuchukua muda kukamatwa!
 
Kikwete kimsingi kasema waiofanya hivyo waweza kuwa watu wa serikali lakini hakuwatuma yeye.


Kimsingi alichosema ni kuwa yeye binafsi ha-rule out yoyote yule kuhusika, hata serikali; sio ni serikali

Kiswahili kinatoa maana tofauti mno unapotumia neno lakini kama ulivyofanya wewe. Ni kupindisha maneno ya Rais, hajasema hivyo.
 
b. Hired Professional Assassins: Is it possible that a group of hired killers carried this attack against Ulimboka? There is a slim chance of that but any paid killer would have known that whether Dr. Ulimboka dies or live the police and other security agents would carry a massive manhunt against the perpetrators. Hired killers strike in darkness and they could have done that anywhere else but not as public as our "suspect" did.

Kama Tanzania tuna waTanzania ambao ni independent proffesional assassins wa quality ya walimteka Ulimboka, wako tu huko mtaani wakiranda randa kutafuta tenda za kufanya unyama wao..na serikali haijui kuhusu hilo wala mtandao wao, na jinsi ya kukabiliana nao...basi I can declare NONE among us (Tanzanians) is ever safe!
 
b. Where is the car that came to the rescue? (in the middle of the night...)? was one of the agents had a changed heart and decided to spare Ulimboka's life (very probable); did he rush the others to give Ulimboka a chance to survive!.


Really now, that's new information to me but either way Mr President already asserted that the Government is not involved

Is there any way or under what circumstances he would have said otherwise?
 
MMM naona anataka kuipindisha hotuba.

Kwa ila zake zote alonazo, Kikwete Kiswahili hakimpi shida. Hawezi kutumia neno "lakini" kamwe, kwenye sentensi kama ile, maana "lakini" ndani ya sentensi ina maana kuwa kilichopo kabla ya hiyo "lakini" ni fact/uhalisia.

Kikwete aliweka msisitizo kuonyesha kuwa hana fact, kwa kutumia maneno mahsusi kuonyesha hilo; na hapa namnukuu:

Kama kuna mtu wa Serikali kafanya, itakuwa kwa sababu zake binafsi na siyo za Serikali au kwa kutumwa na Serikali.
 
Kwa ila zake zote alonazo, Kikwete Kiswahili hakimpi shida. Hawezi kutumia neno "lakini" kamwe, kwenye sentensi kama ile, maana "lakini" inayofuatia sentensi ina maana kuwa sentensi ya iliyopita ni fact/uhalisia.

Kikwete aliweka msisitizo kuonyesha kuwa hana fact, kwa kutumia maneno mahsusi kuonyesha hilo; na hapa namnukuu:
si ndio hapo. Hata sie wote tulimsikia
 
huyu jamaa maisha yake yako hatarini sana kwa sababu anawajua watu waliomfanyia hii kitu na hao watu would do all they can to make sure hawakamatwi. Nashangaa mpaka sasa hivi hatujapewa updates from the police kutuambia uchunguzi unaendeleaje
 
Physicians (Per 10,000 Population)

2005-2010

(Go to Maps above or Notes and Sources below)
Rank Table by:
  • Country Name
  • Rate



Rank
Country Name
Rate per 10,000
sort_desc.gif

Global
14
1
Cuba
67
2
Greece
62
3
Niue
60
4
Belarus
52
5
Austria
49
6
Georgia
48
7
Russian Federation
43
8
Norway
42
9
Kazakhstan
41
10
Switzerland
41
11
Spain
40
12
Andorra
39
13
Portugal
39
14
Azerbaijan
38
15
Sweden
38
16
Armenia
38
17
Uruguay
37
18
Iceland
37
19
Bulgaria
37
20
Czech Republic
37
21
Israel
37
22
Lithuania
36
23
Germany
36
24
Lebanon
35
25
Italy
35
26
France
34
27
Denmark
34
28
Estonia
33
29
Ukraine
32
30
Ireland
32
31
Malta
31
32
Hungary
30
33
Belgium
30
34
Slovakia
30
35
Australia
30
36
Latvia
30
37
Finland
29
38
Cook Islands
29
39
Netherlands
29
40
Egypt
28
41
Luxembourg
28
42
Mongolia
28
43
Qatar
28
44
United Kingdom
27
45
New Zealand
27
46
Moldova (Republic of)
27
47
Macedonia (The former Yugoslav Republic of)
26
48
Croatia
26
49
Cyprus
26
50
Uzbekistan
26
51
Slovenia
25
52
Jordan
25
53
United States of America
24
54
Turkmenistan
24
55
Kyrgyzstan
23
56
Romania
23
57
Poland
22
58
Japan
21
59
Serbia
21
60
Tajikistan
21
61
Montenegro
21
62
Korea (Republic of)
20
63
Canada
20
64
Mexico
20
65
United Arab Emirates
19
66
Oman
19
67
Libyan Arab Jamahiriya
19
68
Singapore
18
69
Barbados
18
70
Kuwait
18
71
Brazil
18
72
Ecuador
17
73
Bosnia and Herzegovina
16
74
El Salvador
16
75
Maldives
16
76
Turkey
15
77
Syrian Arab Republic
15
78
Bahrain
14
79
Brunei Darussalam
14
80
China
14
81
Palau
14
82
Viet Nam
12
83
Algeria
12
84
Tunisia
12
85
Trinidad and Tobago
12
86
Albania
12
87
Tuvalu
11
88
Chile
10
89
Malaysia
9
90
Saudi Arabia
9
91
Peru
9
92
Iran (Islamic Republic of)
9
93
Belize
8
94
Pakistan
8
95
Nauru
7
96
Iraq
7
97
India
6
98
Morocco
6
99
Cape Verde
6
100
Tonga
6
101
Sri Lanka
5
102
Samoa
5
103
Myanmar
5
104
Marshall Islands
4
105
Fiji
4
106
Nigeria
4
107
Kiribati
4
108
Namibia
4
109
Botswana
3
110
Yemen
3
111
Bangladesh
3
112
Indonesia
3
113
Sudan
3
114
Lao People's Democratic Rep.
3
115
Djibouti
2
116
Cambodia
2
117
Solomon Islands
2
118
Afghanistan
2
119
Micronesia (Federated States of)
2
120
Madagascar
2
121
Colombia
1
122
Cote d'Ivoire
1
123
Mauritania
1
124
Uganda
1
125
Vanuatu
1
126
Guinea
1
127
Congo
1
128
Ghana
1
129
Burkina Faso
1
130
Benin
1
130
Senegal
1
131
Zambia
1
132
Papua New Guinea
1
132
Togo
1
133
Mali
134
Guinea-Bissau
135
Gambia
136
Somalia
137
Mozambique
138
Rwanda
139
Bhutan
140
Ethiopia
141
Malawi
141
Niger
142
Sierra Leone
143
Liberia
144
Tanzania (United Rep. of)
145
American Samoa
(NA)
145
Angola
(NA)
145
Anguilla
(NA)
145
Antigua and Barbuda
(NA)
145
Argentina
(NA)
145
Aruba
(NA)
145
Bahamas
(NA)
145
Bermuda
(NA)
 
Nilikua nimekaa mahali nikasikia jamaa wakipiga stori zao , eti kua waliofanya hiyo mambo..ni wale jamaa wanaoshughulika na mambo ya usalama wetu..eti walitaka kujua nani yuko nyuma ya huo mgomo..maana isingekua rahisi kwa dr mwenyewe kushikia bango sana mgomo huo..lakini hawakupata taarifa yoyote ya kushika wasiwasi wao..pia eti..nchi yetu ni ya amani sana..na lazima jambo fulani lifanyike kuwashughulikia watu kama hao wanaotaka kuifanya nchi isitawalike na kuondoa amani tuliyonayo..eti kuwa Rais ni mtu anayependa sana wananchi wake..lakini watendaji wake ndio wanaomwangusha...basi stori zikaishia hapo..tukawa tunaangalia mechi ya italia na spain..
 
Ndahani,

Ni sawa, kwahiyo hamna haja ya kuishutumu serikali au mtu yeyote.

Wacha wahusika wafanye kazi yao naamini tutafika mahala tutajua.
Maundumula angekuwa mtu mwingine kamta ja huyo hemedi msangi sawa victim kamtaja mwenyewe kama nyie ndio mlitekwa basi semenihuwezi kusema hivi mkuu - hamna haja ya kuishutumu serikali au mtu yeyote huu ni ujinga mkubwa sana , na serikali inajua na ndio sababu wakampa ulinzi mkuu nikuulize kitu yuko wapi ditopile aliyeua nakutetewa na serikali na sheria kumlinda? zombe alilindwa na serikali ! wezi wa mabilioni serikali inawalinda sana so we can say and proove beyond reasonable dought that serikali ipo kwa maslahi binafsi mkuu ya waheshimiwa haiwezekani mpaka leo mtu anaumizwa vile ikawa kimya watanzania wa sasa sio wa enzi za nyerere! we will see 2015 wewe na zomba mtapotea jf kwa aibu na huyo rais wako hana hata aibu anaropoka eti hajamtuma nani kamuuliza kama amemtuma au la inajidhihirisha wazi yeye ni amirjeshi mkuu wa nchi hii na waliofanya ni polic na usalama wataifa AUTHORIYT COMES FROM ABOVE OBIDIENCE COMES FROM BELOW ,.mark my word today 02/07/2012 9:47am
 
Suspect bado Mzee Mwanakijiji, wanasiasa waliahidi nchi isitawalike they will do as much as they can do as well. Very unfortunately, watu wengi wamedhurika na washukiwa hawakamatwi sema tu bongo watu wana matabaka sana lakini sio rasmi kuna touchable na untouchable, this time imemkuta kiongozi mbona na makala zitaandikwa kila kukicha, kwa mfano kuna dada alichinjwa na mumewe Tegeta na habari kutoka katika vyombo vya habari lakini Muuaji amefahamika na mpaka leo hajakamatwa wananchi wananung'unika chinichini. Hakuna cha haki za binadamu wala Tamwa walioenda hata kuuliza whats happened, wao wanataka media coverage tu waonekane katika luninga na kuvuta mkwanjwa wa wafadhili.

Jambo likigusa media au public interest ndio linaonekana muhimu, utakubaliana na mimi utendaji wa jeshi la polisi hauko makini kihivyo. Watu wanatekwa na kuumizwa yapo makundi ya watekaji yanafahamika kwa mfano manzese ni maarufu kwa kazi hiyo. Wahuni wakidhulumiana wanajua waende wapi kuchukua masela na wanakuchukua mbele ya public, kuchukuliwa mbele ya public pia sio hoja.

Kuna story ya magomeni jamaa alipigwa bastola katika traffic lights na taarifa za kijiweni mchizi alikuwa anauza madawa na wapakistan akawazingua wakamtema, jamaa akawachongea wakakamatwa mbezi beach. Kilichotokea jamaa akapigwa bastola ya mdomo katika mataa na jamaa waliokuwa katika pikipiki na wamesepa hadi leo hakuna lolote. Inasemekana jamaa wamekodiwa kutoka nje kwa kazi hiyo tu. My point jamaa wanaweza kodisha hata majangili kutoka nje watengeneza collable.

Kwa kuwa kuna wataalam wanachunguza bora tukawapa muda kuliko kuanza kucheza probability, manake hata JF siku hizo ingeweza kupata cruel kabla ya matukio ya namna hii sasa thinkers siku hizi wanachukua upande kabla ya kupata details na fact. Criminial Investigation (CI) wanasema each crime scene has its own evidence wataalam wageuze mawe yote majibu watapata.
 
Mwanakijiji
who benefited the most? The Government or opposition? If you dare to talk the truth say something

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kwa hili serikali ina wakati mgumu wa kujisafisha kuliko wakati mwingine wowote. Na hili litawezekana ikiwa itaweza kuwaweka wazi pasipo shaka na kuwaadhibu kisheria hata kama wakiwa ni agent wa serikali. Tutakapoona serikali inaanza kujikosoa na kujiadhibu/kujirekebisha ndipo imani yetu kwao itarejea polepoleee.
 
Back
Top Bottom