Suspect bado Mzee Mwanakijiji, wanasiasa waliahidi nchi isitawalike they will do as much as they can do as well. Very unfortunately, watu wengi wamedhurika na washukiwa hawakamatwi sema tu bongo watu wana matabaka sana lakini sio rasmi kuna touchable na untouchable, this time imemkuta kiongozi mbona na makala zitaandikwa kila kukicha, kwa mfano kuna dada alichinjwa na mumewe Tegeta na habari kutoka katika vyombo vya habari lakini Muuaji amefahamika na mpaka leo hajakamatwa wananchi wananung'unika chinichini. Hakuna cha haki za binadamu wala Tamwa walioenda hata kuuliza whats happened, wao wanataka media coverage tu waonekane katika luninga na kuvuta mkwanjwa wa wafadhili.
Jambo likigusa media au public interest ndio linaonekana muhimu, utakubaliana na mimi utendaji wa jeshi la polisi hauko makini kihivyo. Watu wanatekwa na kuumizwa yapo makundi ya watekaji yanafahamika kwa mfano manzese ni maarufu kwa kazi hiyo. Wahuni wakidhulumiana wanajua waende wapi kuchukua masela na wanakuchukua mbele ya public, kuchukuliwa mbele ya public pia sio hoja.
Kuna story ya magomeni jamaa alipigwa bastola katika traffic lights na taarifa za kijiweni mchizi alikuwa anauza madawa na wapakistan akawazingua wakamtema, jamaa akawachongea wakakamatwa mbezi beach. Kilichotokea jamaa akapigwa bastola ya mdomo katika mataa na jamaa waliokuwa katika pikipiki na wamesepa hadi leo hakuna lolote. Inasemekana jamaa wamekodiwa kutoka nje kwa kazi hiyo tu. My point jamaa wanaweza kodisha hata majangili kutoka nje watengeneza collable.
Kwa kuwa kuna wataalam wanachunguza bora tukawapa muda kuliko kuanza kucheza probability, manake hata JF siku hizo ingeweza kupata cruel kabla ya matukio ya namna hii sasa thinkers siku hizi wanachukua upande kabla ya kupata details na fact. Criminial Investigation (CI) wanasema each crime scene has its own evidence wataalam wageuze mawe yote majibu watapata.