Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,024
- 16,322
Nimempata mkuu vizr sanaUko serious humfahamu huyu mrembo View attachment 3604698
Nimempata mkuu vizr sanaUko serious humfahamu huyu mrembo View attachment 3604698
Ulimi hauogopi pilipiliSasa Baba Levo si ana mtoto umri kama iko kibinti?
Eh usiniambie Little More ni za Jojo ila mmh ndio hata asizitangazeeee🤔Kwani huzioni little more zilivyotapakaa nchini.
Uko serious humfahamu huyu mrembo View attachment 3604698
Siku hizi kila mtu bilioneaAsma majid kwa sasa ndio mrembo namba moja Tanzania, na africa kiujumla.
Pamoja na kuwa na elimu ya masters in economics, ambayo aliipatia pale oxford uingereza, havijamzuia kufanya tasnia yake ya maigizo na mitindo.
Asma kwa sasa ni moja ya wafanyabiashara wakubwa wakike barani Africa. Huku baadhi ya kampuni zake ikiwemo Asjid logistics inayokadiriwa kuwa na thamani ya usd 100 milio.
Majarida makubwa duniani yanapigana vikumbo kufanya naye mahojiano na kwa mujibu wa wadau wa JF, ni kuwa amesaini mkataba na kampuni ya COCO CHANEL ya ufaransa kwaajili ya kudesign mikoba na viatu vyake.View attachment 3604686View attachment 3604688
Anapatikana wapi huyu? Kama una namba yake naihitaji. Nimetoka Dakawa kuvuna mpunga! nina pesa balaa!Amefanikiwa kuinspire vijana wengi ikiwa ni pamoja na kuanzisha NGO ya kuwasaidia watoto wakike wanaoishi katika mazingira magumu. BEAUTY WITH BRAINS.View attachment 3604694
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu choka mbaya hana hata mia mbovu
Anadanga tu