Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,494
- 113,590
Wananodi
Hii ni mada ya political economy ya siasa za uchumi wa dunia, siasa za utajiri wa dunia hii. Masikini bara letu la Africa, licha ya kuongoza kwa utajiri wa natural resources, sijui tumelogwa au nini?!, maana tuna Bilionea 1 tuu kwenye Top Hundred list ya mabilionea wa Dunia ambaye, ni Aliko Dangote Pekee!.
Kwenye list ya mabilionea 500 wa Dunia, kuna jumla ya mabilionea 6 tuu kutoka bara lote la Africa!. Tanzania hatumo!, hii maana yake, hawa mabilionea wetu wa Kitanzania ni mabilionea tuu ki Bongo Bongo, lakini ki Africa na kidunia, sio mabilionea lolote, chochote, ni vi bilionea tuu!.
Hii maana yake, utajiri mkubwa wa madini, mafuta na maliasili za bara la Africa, unavunwa na kuwanufaisha wengine na kuwa mabilionea kwa rasilimali zetu!.
Mfano Tanzania ndio nchi pekee inayozalisha madini ya Tanzanite, yenye thamani kubwa, tukitaraji tuwe na bilionea wa Tanzania kwenye list, lakini waliopo kwenye list ni mwekezaji wa Tanzanite One, wako kwenye list ya mabilionea 6 wa Africa, kwenye list ya mabilionea 500 wa dunia kwa kutumia utajiri wa Tanzanite zetu!.
Tanzania tunazalisha madini ya almasi yenye thamani kubwa, kwenye list mabilionea 6 wa Africa ndani ya list ya mabilionea 500 wa dunia, aliyepo ni tajiri wa DeBears, ambaye ameingia kwenye list hiyo kwa utajiri wa alimasi zetu ni sehemu ya utajiri wake.
Sasa tumegundua gesi asili, ni kitu cha thamani sana kama mafuta. Kati ya makampuni 23 yenye mikataba ya kuchimba gesi asili, PSA's, hakuna hata kampuni moja ya Kitanzania, hivyo gesi itakapoanza kuvunwa, itatengeneza tena mabilionea kadhaa wa Dunia wanaopata utajiri kwa maliasili zetu, huku sisi wenyewe na vibilionea vyetu vya madafu tukiangalia na kung'ang'aa tuu macho!.
Idadi ya watu wote Africa, inalingana na China, ila kwenye list hiyo, ya mabilionea 100 wa dunia, wakati sisi Africa, tuna bilionea mmoja tuu, Aliko Dangote, kwenye top hundred, China, wao wana mabilionea 44!, ndani ya top 100!.
Kwenye hiyo top 500 ya mabilionea wa Dunia, mabilionea wengine wa Africa ni Mike Adenuga anayemiliki kampuni kubwa ya mobile phone Nigeria, kuna jamaa 3 wa South Africa, mmiliki wa De Beers, Nicky Oppenheimer, tycoon Johann Rupert na mogul Natie Kirsh, list ya mabilionea 6 wa Africa inahitimishwa na ndugu wawili wa Misri, Nassef na Naguib Sawiris. wenye visima vya mafuta.
Tajiri mkubwa kabisa Duniani kwa sasa ni Jeff Bezos, mwenye Dola Billion 136 tuu, amempita hata Bill Gates hivyo just imagine sisi Tanzania tungeamua, zile dola bilioni 191 zetu tunazowadai Acacia, tuziweke kwenye account ya rais Magufuli, Mo Dewji, Reginald Mengi, Ali Mfuruki and the likes, hivyo kwa fedha hiyo, Mtanzania ndiye angekuwa Bilionea numberi 1 Duniani. Appearance tuu ya jina la Mtanzania, Kuongoza list ya mabilionea wa Dunia, limelight yake tuu, watalii wangemiminika Tanzania, wawekezaji wakubwa, wangemwaga ma FDI ya kutosha.
Hebu angalia hapa top ten ya mabilionea wa Dunia, na uangalie vijihela vyao, ulinganishe na ile Bilioni 191 yetu uone tungekuwa wapi!.
1. Jeff Bezos $136B
2. Bill Gates $98.5B
3. Warren Buffett $83.1B
4. Bernard Arnault $80.8B
5. Amancio Ortega $66.6B
6. Mark Zuckerberg $64.2B
7. Carlos Slim $57.0B
8. Larry Ellison $56.2B
9. Larry Page $54.9B
10. Sergey Brin $53.5B
Jee sisi bara la Africa tumemkosea nini Mungu hadi kutufanya hivi?. Bara letu ndilo lenye rasilimali nyingi, lakini ndilo bara linaloongoza kwa umaskini wa kutupa uliotopea!. Jee tuna tatizo gani au tumelogwa?Mungu Ibariki Africa
na sisi tuwepo.
Paskali
NEWS RELEASE
Nigeria’s Dangote Tops a Very Short List of African Billionaires (By Devon Pendleton and Tom Metcalf)
There are just six Africans on the ranking of the world’s 500 richest people
NEW YORK, United States of America, February 28, 2019/ -- By Devon Pendleton and Tom Metcalf
Aliko Dangote’s (Bloomberg - Are you a robot?) $17 billion net worth makes the Nigerian the richest person in Africa and the only member of the Bloomberg Billionaires Index (Bloomberg - Are you a robot?) from one of the 60 poorest countries.
About half of Nigeria’s 190.9 million citizens subside on less than $1.90 a day, giving it a Gini coefficient (a measure of wealth distribution) of 48.8, compared with 41.5 for the U.S. and 29.2 for Sweden.
Dangote, 61, is among just a few Nigerian billionaires, most of whom accrued their wealth by coming into possession of lucrative oil blocks or, in the case of telecom magnate Mike Adenuga (Bloomberg - Are you a robot?), providing services to a fast-growing population. Adenuga, the nation’s second-richest person, owns mobile phone network Globacom Ltd., with 45 million subscribers. He’s worth $2.8 billion, according to the Bloomberg wealth index.
South Africa is the only other country in the sub-Saharan part of the continent with any representatives on the Bloomberg wealth ranking. Its three wealthiest citizens -- De Beers heir Nicky Oppenheimer, luxury tycoon Johann Rupert and property and wholesaling mogul Natie Kirsh -- are worth about $20 billion combined. All three have extensive holdings outside Africa.
There are just six Africans on the ranking of the world’s 500 richest people, including Egyptian brothers Nassef and Naguib Sawiris. By comparison, China, with a population that rivals Africa’s, has 44.
And though Dangote’s $17 billion fortune is a startling figure in such a poor country, his wealth in proportion to the size of Nigeria’s economy is on par with or even lower than the richest citizens of more developed countries.
Source: APO