Asma Majid: Bilionea mrembo anayetikisa Afrika

Asma Majid: Bilionea mrembo anayetikisa Afrika

Asma majid kwa sasa ndio mrembo namba moja Tanzania, na africa kiujumla.

Pamoja na kuwa na elimu ya masters in economics, ambayo aliipatia pale oxford uingereza, havijamzuia kufanya tasnia yake ya maigizo na mitindo.

Asma kwa sasa ni moja ya wafanyabiashara wakubwa wakike barani Africa. Huku baadhi ya kampuni zake ikiwemo Asjid logistics inayokadiriwa kuwa na thamani ya usd 100 milio.

Majarida makubwa duniani yanapigana vikumbo kufanya naye mahojiano na kwa mujibu wa wadau wa JF, ni kuwa amesaini mkataba na kampuni ya COCO CHANEL ya ufaransa kwaajili ya kudesign mikoba na viatu vyake.View attachment 3604686View attachment 3604688
Tuliambiwa joketi ameingia mkataba wa bilioni nane(8)na wachina.

Lakini tukashangaa mrembo anakomaa na siasa badala ya dili la bilioni nane
 
Back
Top Bottom