Aslay mihogo Mwanza

Nilikula samaki wake pale coco,niliishia kuharisha week nzima.sina hamu na hao samaki wake hadi leo.
 
Bongo hii customer care ni zero watu wanaowaweka wale mabinti wa kuhudumia hawajui maana y kuchangamka na mambo kama hayo.

Kiufupi tabia Watanzania hawana tabia za biashara usije shangaa Afisa masoko au.mauzo kutokea mteja.

Nimewahi fanya kau za Huduma na Wakenya huwezi Kuta upumbavu kama huo.
 
Wabongo wanavyopenda kuwashusha na kuwakatisha moyo wenzao sasa dahh!! Mbona mtoa mada ameshauri vzr sana ili wahisika kama wapo humu wachukue hatua.

Nilichogundua wengi humu hawajawahi fanya biashara hata ya kuuza karanga lkn kwa mtu anaejua biashara mistake ndogo ndogo kama hizo hazimsumbui. Biashara inatabia ya kukufundisha kitu kipya Kila siku
 
Kwani hakuna sehemu nyingine za kula vitu unavyotaka??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…