Askofu Stephen Munga: Je, Musiba amekuwa Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana?

Mwanzo alionekana km mjnga flan, lakin kadri sku znaenda jamaa anazid kupata power ya ajabu

Anyway kila kitu kna mwsho..Lets see mwisho wa jamaa utakuwajeView attachment 1165043
Hivi huyu mtu Musiba ni kwa vipi vyombo vya sheria vimuogope na vishindwe kumchukulia hatua, wakati anatoa maneno ya kutisha kiasi hicho na ya kuhatarisha amani ya nchi kwa kudiriki kusema kuwa atahakikisha anamwua, yeyote anayepingana na Rais Magufuli!

Hivi tangu lini mtu kumpinga Rais Magufuli iwe kosa la jinai, ambalo mtu anastahili kuuawa, tena si kwa kutumia chombo cha mahakama, ambacho ndiyo pekee kilichopewa mamlaka ya kutoa haki nchini

Hakika hivi sasa waliomiminia risasi Tundu Lissu weshaanza kujitokeza hadharani!
 
Origin ya siasa imetokea kwenye dini. Na moja ya jukum la dini ni kukemea na kuonya mambo mabaya yanayotokea kwenye jamii.
Achana na hao mbumbumbu wanaoenda makanisani/misikitini kutalii. Viongozi waanzilishi wote wa dini walikemea maovu ya kisiasa, lakini Leo wafuasi wao wakikemea wanaambiwa wanachanganya dini na siasa. Halafu wanaosema hivyo wanahudhuria ibada. Wanadhani matendo maovu wanayoyafanya kwenye siasa hayana athari katika uhusiano wao na Mungu.
 
Anaandika Mheshimiwa baba Askofu Dk. Stephen Munga Mkuu wa KKKT dayosisi ya kaskazini Mashariki

JE, MUSIBA AMEKUWA MFALME WA WAFALME NA BWANA WA MABWANA?!

Ikiwa ni kweli. Narudi a tena: Ikiwa ni kweli kwamba Musiba ameanza kuwashambulia Marais waliotangulia basi tumeingia katika tatizo kubwa. Nasema haya kwa sababu kuu zilizo dhahiri. Kwanza, niseme kwamba mimi binafsi sijawahi kumsema Rais yeyote wa taifa langu hadharani.! Nimefanya kazi wakati wa Rais Mstaafu Mkapa na Rais Mstaafu Kikwete. Nilikuwa na desturi ya kuwaona kila nilipokuwa na neno la kuongea nao na walinisikiliza kwa uvumililivu wote. Mazungumzo yetu hayakuwa mepesi wakati mwingine lakini tulifikia mwisho mwema. Hawajawahi kunitishia uhai wangu na zaidi sana waliweka ulinzi ili niwe salama. Sijawahi kumvunjia heshima Rais yeyote wa taifa langu na kwa hakika hata Rais wangu Magufuli sitamvunjia heshima. Nimefanya hivyo kwa kuzingatia hatari na athari za zinazoweza kutokea iwapo Rais wa nchi atavunjiwa heshima. Taasisi ya Uraisi lazima iheshimiwe na lazima ilindwe kwa ajili ya umoja na ustawi wa nchi na taifa. Kwa hali hiyo nimekuwa mtumishi na mwanaharakati wa uzalendo wa nchi na taifa langu kwa miaka mingi kuliko Musiba.

Rais John Pombe Magufuli hakuingia madarakani kwa mapinduzi bali kwa kukabidhiwa ofisi na watangulizi wake wa CCM. Niweke wazi jambo moja. Wakati Rais Mstaafu Kikwete anakwenda Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa kuchagua mgombea wa CCM alitokea Tanga na alifanya mazungumzo nami. Sikilizeni hotuba yake kwa Mkutano Mkuu wa CCM ambapo alitaja kwa kifupi maoni yangu na kunitaja kwa jina. Acheni mambo yenu yanayochanganya wananchi! Nchi hii haikuzaliwa baada ya uchaguzi wa 2015 na naweka mambo haya wazi ili anayetaka kunikamata afanye hivyo. Tena nchi hii haiongozwi na kuwa salama kutoka Ikulu na TISS. Nchi na taifa hili ni moja kwa sababu wananchi wake walishirikishwa katika ulinzi na maendeleo ya taifa lao.

Mimi nikiwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Lund, Sweden nilipanga kuonana na Baba wa Taifa letu Mwalimu Nyerere. Kwa mapenzi ya Mungu alimuita mbinguni kabla hatujaonana na alizikwa wakati ningali nje ya nchi kwa hiyo sikushiriki hata mazishi yake. Nilitaka kuonana naye kwa lengo la kuzungumzia hatma ya nchi yetu kwa wakati ule. Tunaipenda nchi yetu na sisi ni wazalendo waliokubuhu juu ya taifa hili kuliko huyo Musiba anayejifanya ni mwana harakati wa Rais. Rais wa awamu ya tano hakuingia madarakani kwa mapinduzi bali kwa utaratibu wa vikao rasmi vya CCM vya kuchagua wagombea wake. CCM katika mshikamano na umoja wake wakampigania mgombea wao kushinda nafasi ya urais na akashinda. Nijuavyo mimi hapajawahi kuwa na msuguano juu ya urais wa Mhe. John Pombe Magufuli isipokuwa matatizo yalijitokeza baada ya urais wake akiwa ofisini. Tena niseme wazi kwamba watu walikuwa na matumaini makubwa kwamba Rais Magufuli angeliunganisha na kuliletea maendeleo taifa letu na kujenga ustawi na demokrasia zaidi kuliko tawala zilizopita. Lakini katika kufanya hayo ni pamoja na kutambua kwamba amekalia kiti alichokabidhiwa kwa urithishaji wa madaraka na sio kwa mapinduzi ya nchi. Nimelitetea taifa langu kwenye makongamano mengi ya kitaifa na kimataifa japo si mtumishi wa umma. Jubilee 2000 kudai Afrika ifutiwe madeni nilikuwa mstari wa mbele nikiwa bado nje ya nchi. Asante sana Mhe. Mkapa kwa kutambua mchango wangu na wa makanisa katika kampeni hii kubwa ya kimataifa.

Mimi sasa ni mzee na siogopi kifo. Miaka aliyonipa Mungu kumtumikia na kutumikia taifa langu inatosha na kamwe sina cha kulalamika. Nchi na taifa hili halikustawi toka Ikulu na TISS bali ni matokeo ya mshikamano wa wadau mbalimbali zikiwemo NGO na wananchi wote kwa jumla. Uzalendo wa taifa unajengwa katika mshikamano wa jinsi hiyo na si vinginevyo.

Lakini naona uchungu kuona viongozi wa taifa hili wanadhalilishwa na kunyanyaswa na mtu mmoja anayejiita mwanaharakati wa Rais na eti sisi sote tunatakiwa tuogope na kukaa kimya. HAPANA. Taifa hili limefika tulipo kwa sababu tumekuwa na viongozi waliolifikisha 2015 wakati Rais Magufuli anachaguliwa. Tanzania ni taifa kubwa kuliko marais wake sembuse kidudu mtu Musiba! Inakuwaje leo Musiba anachafua viongozi waliolibeba na kulivusha taifa hili kwenye mawimbi na misukosuko na tunatakiwa eti tukae kimya! Tanzania isingekuwepo kama sio Mwl. Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete. Hawa wanayo heshima ya kipekee katika Tanzania ya leo na kama hatuoni hivyo basi kuna tatizo kubwa. Musiba anachokifanya analiweka taifa letu mahali pagumu sana na hatuko tayari kwenda safari hiyo.

Mimi sikatai kwamba kama wapo walioihujumu nchi wasichukuliwe hatua. Miaka ya 2010s nilikuwa Ghana na kule aliyekuwa Rais wakati huo ni marehemu Rais Prof. Miller. Huyu alianzisha mahakama maalum ya wahujumu wa uchumi ambapo wote waliotuhumiwa walitokea kwenye jopo la majaji kujibu tuhuma zao. Huu ulikuwa mchakato na mfumo rasmi wa kushughulika na mambo. Nilifuatilia sana kesi zile na niliona kuwa utaratibu uliofuatwa ulikuwa wa wazi (transparent) na ulikuwa rasmi kwa maana ya kwamba ulizingatia taratibu za kisheria katika kutoa haki kwa watuhumiwa. Iwapo hapa kwetu tungefuata taratibu za jinsi hiyo nisingekuwa na neno. Tatizo nilionalo ni kwamba taifa zima tunamtazama Musiba kama mahakama ya kutuhumu na kuhukumu viongozi na watu wengine na kuona kwamba ni sahihi. HAPANA! HAPANA! HAPANA!

Musiba, kwa kuwatuhumu viongozi wakuu wa nchi na wengine, analiweka taifa zima katika mawimbi ya uharibifu. Mimi sijui ni nani anampa kinga Musiba lakini niseme tu kwamba kwa muelekeo huu hakuna aliye salama. Musiba ni kiumbe hatari kwa umoja, usalama, na mshikamano wa taifa. Musiba anafifisha uwezekano wa uzalendo kwa nchi na taifa letu. Iwapo anachokifanya Musiba ni mkakati uliopangwa kwa malengo yeyote, basi malengo hayo yatafeli. Hatuwezi kuona viongozi wa taifa hili waliotumika hadi kukabidhi madaraka kwa utawala huu wakinyanyaswa na mtu asiye na heshima. Tumevumiliana mengi kwa ajili ya ustawi na amani ya nchi hii lakini Musiba anavuruga nchi. HAPANA! HAPANA! HAPANA! Hatuna shida ya kuwepo mfumo rasmi wa kushughulikia tuhuma anazosema Musiba lakini Musiba hana cheo na sifa za kuwa hakimu kwa mambo ya viongozi wa taifa letu na CCM waliotangulia. Nimeyasema haya kwa dhamiri yangu safi. Ikiwa itanigharimu kifo niko tayari. Nasema kama Mchungaji Dkt. Martin Luther: Hapa nasimama, Mungu nisaidie. (Here I stand, God help me).
Musiba ana taarifa ambazo mwanaharakati huru kamwe hawezi kuwa nazo. Anataarifa za tume za chama, barua za ofisi za serikali tena kutoka na kwenda kwa mawaziri na sasa anayosema yanathibitishwa na sauti rekodiwa za simu....ni dhahiri Musiba anapewa nguvu na taarifa na wasiojulikana
 
Source ya huu waraka please. Huu waraka hauna tofauti na waraka wa wale wazee wawili na vijana wao wawili. Ni waraka chochezi
 
Mkuu akina nape hawakufikia kiwango cha kutamba hadharani kuua /kupoteza watu.

Huyu bwana atamba kabisa ati kuua mtu mmoja au watatu sio Tatizo kabisaa.

Mbaya zaidi ni muongo wa waziii kabisa, jana nilimsikia DW akitamba eti hata marekani kwa dakika moja watu hamsini wanapigwa risasi au kupotezwa.
Wakati wapinzani wa Rais, wananyanyaswa na kudhalilishwa na wengine kuuliwa walikaa kimya . Ngoja yawakute na waijue rangi ya kinyonga.

Hata hivyo Musiba sikubaliani naye
 
Musiba ataleta msiba kwa taifa huku akiendelea kuchekewa na kutukuzwa...
Kuna vitu vinaogopesha...
 
Jamani akina gwajima, malasusa, mwingira, mzee wa upako, kakobe, pengo na wengine mko wapi nchi inaingia kwenye giza totoro nyie mpo kimya mmepatwa na nn only time will tell

Hao uliowataja wote ni wapigaji sijui unataka nao wakate mkono unaowalisha? kajipange upya na uongeze jicho la tatu!
 
Hakika mkuu, Kuna kajitu utakuta kana msifu Martin Luther King kua ni mchungaji aliyekosoa maovu katika jamiii. Ila mtu huyo huyoo hataki viongozi wetu wa dini wa sasa wakemee uovu.

Nena Bwana maana Mtumishi wako anasikia. Maana asiyewatunza wale wa nyumbani mwake hasa ameikana Imani Tena ni mbaya kuliko asiyeamini, 1Thes 5:8
 
Askofu Munga, haya ya Musiba ni ya "Magufuli" ! NAISHIA HAPA!
 
Back
Top Bottom