Askofu Stephen Munga: Je, Musiba amekuwa Mfalme wa Wafalme, Bwana wa Mabwana?

Umenena sawa , kazi ya kiroho ni njema , haitaji kubwabwaja , hiyo kubwabwaja ni kazi ya wanasiasa.
Binafsi nawaheshimu sana viongozi wa dini wanaofundisha mambo ya dini kwa kutumia elimu yao ya dini kwa watu wote. Awe Mukristu au Muislamu, au dini yoyote! Mimi husema Amina. Lakini, hawa wanaopata umaarufu na kuungwa mkono halafu wanachombeza mambo nje ya taaluma yao, NO! Wawe tayari kutoheshimika kwa misimamo yetu ya kisiasa.

Huyu Munga awe tayari kutoheshimika kwa hayo yote.Hawezi kuwa mwalimu wanguwa siasa hata siku moja!
 
Wamenuna hapa sasa, askofu kaa macho!

SIRI YA TISS aka WASIOJULIKANA NI HII;

siku hizi wanakuja na Daladala, zenye usajili wa abiria, Sifichi mimi wameniwinda sana, lkn nimesaidiwa kuwajua na dawa za Bibi yangu, kuwakwepa, (mjue kazi siyo lazima)

ni hatari wewe kundi la Rashidi na wenzako wale saba, nawajua, hamna mwisho mwema. ukiona daladala haina abiria wengi, ni majanga usiitumie wala kukubali ku-overtakiwa.

wanajifanya makonda waliochanganyikiwa, au ume wakwaza
ndo unaondoka ivo. wanavaa kikonda kabisaa! hautakaa uonekane.
 
Duuh! Mkuu kwanza pole sana, pia hili ungetakiwa uanzishe uzi wake kabisa ili kuweza kusaidia watu wengi zaidi walioko kwenye hatari kama wewe.
 
Back
Top Bottom