Hao na wale Mashekhe wa kiisalamu wa Bakwata wanafiki na wachumia matumbo yao, hawawezi kufungua kinywa.Jamani akina gwajima, malasusa, mwingira, mzee wa upako, kakobe, pengo na wengine mko wapi nchi inaingia kwenye giza totoro nyie mpo kimya mmepatwa na nn only time will tell
Hapana baba Askofu, mende walikuwa wengi sana ndani ya nyumba, hukuna njia rahisi ya kuwaondoa zaidi ya kupuliza dawa kali kila sehemu.
Nchi ilikuwa imeshikiliwa na kikundi cha watu wachache waliotaka kupokezana madaraka wenyewe kwa wenyewe.
Vijana waliharibika na madawa ya kulevya, tembo waliuawa, masikini walionewa bila ya mtetezi.
Dini na siasa wpi na wapi?? ya Mungu mpen Mungu ya kaisari mwachie kaisari
Msiwaonee vijana wa Lumumba, wale mliokuwa mnawajua sio hao wanashinda humu, hawa ni timu mpya na wana makao yao kwengineVijana wa Lumumba wamelala, ngoja waamke kupinga bandiko
Wakati wapinzani wa Rais, wananyanyaswa na kudhalilishwa na wengine kuuliwa walikaa kimya . Ngoja yawakute na waijue rangi ya kinyonga.Acha ujinga kaka wangekemea nini huko nyuma umeshawahi ona mtu na mambo kamaya musiba
Ahahahaaaa . Nawe leo kiatu kimekubana team kusifu na kuabudu. Mnasahau maneno ya Lissu .Asante Baba Askofu.Kutunza amani ya nchi ni pamoja na kuheshimu viongozi wastaafu .Kwa mwendo huu wa kutukana viongozi wastaafu na viongozi wa serikali na chama waliopo kukaa kimya bila kukemea . 2020 kitaeleweka.Tanzania Ina watu wakimya Lakini Sio wapole.Mkinywa na mpole Ni watu wawili tofauti.Mkimywa ni mtu hatari kuliko mpole.
Kwenye orodha yako mtoe Pengo. Hana tofauti na Musiba.Jamani akina gwajima, malasusa, mwingira, mzee wa upako, kakobe, pengo na wengine mko wapi nchi inaingia kwenye giza totoro nyie mpo kimya mmepatwa na nn only time will tell
Watasema nini huku wanajengewa makao makuu ?!Ahsante sana baba askofu, walezi wa kidini upande wa pipi wa waislam wako kimyaaaaaa! Hasa BAKWATA
Na kutokuwa democratKuna mambo madogo madogo sana yanayo muharibia Sifa Rais wetu... Kama la Musiba, Bashite, Sabaya....
Kuondoa kabisa matumizi ya madaya ya kulevya haiwezekani ila asilimia kubwa inaweza pungunzwa.Chamoto mwanzoni umeanza vizur ila umemaliza vibaya. Nikwambie tu vijana kuharibika haichangiw na viongozi.. bali mfumo mzima wa jamii ya kitanzania. Naxungumzia kwanzia ngaz ya familia.
Madawa ya kulevya yataendelea kupenya.. ujangali upo pia. Kwenye jamii zetu huwez sema kiongozi fulan ndio anahusika.. ni jamii yenyewe inaruhusu haya.
Serikal inaweza kuwa wakal lakin mpaka leo..mateja dsm wapo.. na wanakula poda kama kawa.
Sishabikii nchi kuharibika. Ila nikwambie kuwa huwez ondoa haya mambo kirahis.. na huwa hayaishi. Bali yanapungua.
Siwezi kukaa kimya ukitoa comment iliyoshiba busara kama hii. Kama siku zote ungekuwa tayari kukemea uovu bila kujali umetendwa na upande upi tusingekushambulia. Daima simama katika kweli na Kweli itakuweka huru.Asante Baba Askofu.Kutunza amani ya nchi ni pamoja na kuheshimu viongozi wastaafu .Kwa mwendo huu wa kutukana viongozi wastaafu na viongozi wa serikali na chama waliopo kukaa kimya bila kukemea . 2020 kitaeleweka.Tanzania Ina watu wakimya Lakini Sio wapole.Mkinywa na mpole Ni watu wawili tofauti.Mkimywa ni mtu hatari kuliko mpole.