Askofu Stephano Musomba: Hakuna mtu anayeweza kulitisha Kanisa Katoliki

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,143
Reaction score
56,407
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote yule.

Amesema, Kanisa Katoliki limeendelea kusimama imara kwa sababu ni Kanisa lililojengwa juu ya mwamba wa Kristo mwenyewe na si la binadamu.

LQyouyauF_dgzcJi.jpg
 
Na huu ndiyo ukweli mchungu kwa wajinga wote wanaofikiri wanaweza kulishinda Kanisa lililoishi miaka zaidi ya 1000 tangu kuanzishwa kwake.

Kanisa lililo anzishwa miaka zaidi ya 500 kabla ya kuzaliwa Mtume Muhammad na dini yake ya Kiislam!
 
Hii ni taasisi ya kidini iliyo imara duniani, hebu fikiria Bara zima la amerika ya kusini na kati ni katoliki tupu, njoo afrika ya kati, nenda asia ya kati, kusini mwa ulaya ni ukatoliki mtupu, halafu anajitokeza mbongo fulani kutaka kushindana na kanisa hilo akidhani ni sawa na chadema ya Lissu tu, mapemaa mtu keshaangukia pua
 
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote yule.

Amesema, Kanisa Katoliki limeendelea kusimama imara kwa sababu ni Kanisa lililojengwa juu ya mwamba wa Kristo mwenyewe na si la binadamu.

View attachment 3524264
Naunga mkono hoja, hili ndilo kanisa Bwana wetu Yesu Kristu alimwambia Mtume Petro, "Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nalijenga kanisa langu"

Hivyo Bwana Wetu Yesu Kristu aliacha Kanisa moja tuu, kanisa Kuu, Takatifu Katoliki la Mitume , ila siku hizi kuna makanisa mengi, vikanisa na vijikanisa, ila kanisa kwa maana ya kanisa, ni moja tuu, kanisa Katoliki. Kuna Makanisa na Makanisa Kuanzia Makanisa,Vikanisa,Kikanisa na Vijikanisa!, Je Makanisa Yote Yanaweza Kufungiwa?au Vikanisa, Vijikanisa na Kikanisa?

Hili tumelisema humu GE2025 - Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!

Na kwa taarifa yako, Rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe ni Mkatoliki, tena wengi msichokijua, msiwe na wasiwasi kabisa na urais wa Rais Samia, mimi nilielezwa alipewa kibali cha urais wa mpito tuu, lakini rais mwenyewe anayepaswa to run this country this time around, ni yule Mkatoliki!, but only if kama HII sauti ni sauti ya kweli , then muda huo unakaribia kutimia!.

P
 
Na hakuna taasisi wala mtu anayeweza kuitisha wala kuipa masharti Tanzania juu ya nini kifanywe au nani awepo katika uongozi au kuondoka.
 
Samia Suluhu na Mwigulu Nchemba wameapa kulivuruga Kanisa Katoliki na kazi hiyo wanaifanya kwa kasi kubwa sana.
 
Na kwa taarifa yako, Rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe ni Mkatoliki, tena wengi msichokijua, msiwe na wasiwasi kabisa na urais wa Rais Samia, mimi nilielezwa alipewa kibali cha urais wa mpito tuu, lakini rais mwenyewe anayepaswa to run this country this time around, ni yule Mkatoliki!,
"....mimi nilielezwa alipewa kibali cha urais wa mpito tuu" ni kwamuujibu wa katiba au ni matakwa ya watu fulani au taasisi ya Kikatoliki? Kama ni kwa matakwa ya taasisi fulani au kikundi fulani cha watu, kuna haja gani ya kudai katiba mpya, kwani kwa mtindo huu katiba itakuwa ni karatasi la chooni tu.

"......Rais wa JMT anapokuwa niMkristo ni lazima awe ni Mkatoliki" Ni kwa muujibu wa katiba gani? Kuna vikao amabavyo wakristo wa madhehebu yote wanakaa na kumteua huyo mkatoliki kwa kauli moja au ndio wakatoliki wana hati miliki juu ya madhehebu mengine ku-diktet uteuzi huo.

"...to run this country this time around, ni yule Mkatoliki!" Haya, tusubiri. Ila kwa muumini yeyote wa M Mungu atakubaliana nami kitu kimoja... Lililopangwa na M Mungu, binadamu hawezi kulitengua.

Ninachokiona katika hoja hizi zote, ni ukiukwaji wa katiba A MPAKA Z. Hawa ndio watanzania,tena wasomi, jinsi wasichofahamu wanachokitaka kati ya katiba mpya au mkatoliki.
Tukutane mwaka 2030 kwa wale wote wenye uchu na nia ya kuwa Rais wa TZ.
 
Naunga mkono hoja, hili ndilo kanisa Bwana wetu Yesu Kristu alimwambia Mtume Petro, "Wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nalijenga kanisa langu"

Hivyo Bwana Wetu Yesu Kristu aliacha Kanisa moja tuu, kanisa Kuu, Takatifu Katoliki la Mitume , ila siku hizi kuna makanisa mengi, vikanisa na vijikanisa, ila kanisa kwa maana ya kanisa, ni moja tuu, kanisa Katoliki. Kuna Makanisa na Makanisa Kuanzia Makanisa,Vikanisa,Kikanisa na Vijikanisa!, Je Makanisa Yote Yanaweza Kufungiwa?au Vikanisa, Vijikanisa na Kikanisa?

Hili tumelisema humu GE2025 - Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!

Na kwa taarifa yako, Rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe ni Mkatoliki, tena wengi msichokijua, msiwe na wasiwasi kabisa na urais wa Rais Samia, mimi nilielezwa alipewa kibali cha urais wa mpito tuu, lakini rais mwenyewe anayepaswa to run this country this time around, ni yule Mkatoliki!, but only if kama HII sauti ni sauti ya kweli , then muda huo unakaribia kutimia!.

P
Kwahiyo mwambie rafiki yako Msigwa na Mwigulu kuwa wanajaribu kusukuma mwamba uliowekwa na Yesu wataweza?
 
Back
Top Bottom