Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,416
- 4,872
haaaa kwahiyo mama janeth anaweza kumrithi samia hassan umakamu
Tena kupita kiasiKufananishwa na Mugabe katika namna yeyote ile ni DHIHAKA na TUSI kubwa.
Askofu Shao Ni kichwa sana
ni mtu pekee aliyeweza kumpiga jamaa za uso mbele yake
huku yeye akitabasamu
Askofu shaooo sjui Ana hali gani Kwa sasa
Ova
baba askofu ana maono yalyotokea Zimbabwe yatokea hapa siku zijazo.Zimbabwe coup LIVE: Tyrant Robert Mugabe REMOVED from power as army take control of Harare
Ahsante Baba Askofu kwa kutufafanulia aina ya mfalme tuliye naye
Sasa kwa kuwa anafanana na Mugabe, ni matumaini yangu kwamba JWTZ watamfanyia kama mwenzake alivyofanyiwa na ZDF...asije kulalamika kuwa hafanani na MugabeWakati mwingine ikulu iwe inaangalia na vitu vya kuandika.