Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!

Wakati mwingine ikulu iwe inaangalia na vitu vya kuandika.
29a49d629149afb1ae065243c4cc7a50.jpg
Sasa kwa kuwa anafanana na Mugabe, ni matumaini yangu kwamba JWTZ watamfanyia kama mwenzake alivyofanyiwa na ZDF...asije kulalamika kuwa hafanani na Mugabe
 
Hapo ndio ujue kuwa siku hizi Mungu amejitenga sana na Ulimwengu, nukuu na rejea za watumishi wanaojiita wake zinathibisha, fuatilia hakika hayupo nao hujitungia bila maono ya rohoni yaani kutoka kwa Mungu.
 
Comrade Mugabe alitawala kibabe kwa 37 yrs, chaguzi kwake zilikuwa ni formalities tu, aliminya vyombo vya habari, aliwacharaza wapinzani na hakuvumilia ukosoaji.

Hakuwa tayari kuachia madaraka na kama ilibidi, labda tu kwa mkewe na kibaya zaidi, aliuwa kabisa uchumi wa Zimbabwe ambao kipindi fulani ulikuwa mfano Afrika.

Sasa hapo mtu anaweza aka-draw parallel labda na anachoongea huyo Askofu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom