Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!

Kumfananisha na Mugabe ni kumsifia, Huyu ni fascist kama Hitler, Doe Idd Amini na wauaji wengine waliomtangulia
 
Hiyo ndio elimu bora Mkuu??
Presidency not President

Nitafutie popote unapopajua, ukitaka google, au leta sentensi ya gazeti lolote la kiingereza fasaha, inayosema hivi

X to run for presidency au X for presidency

Ila nakuhakikishia utaona sentensi kama hizi " Michelle Obama for president", " Hillary Clinton to run for president in 2020"

Jua, usidhani!
 
Daaa siku hiz, yaan mtu akikusifia huku anakukejeli inageuka kuwa sifa kweli!! Jaman!! Nasikitika ikulu kuzipokea sifa hizo had kuandika taarifa hiyo. Hili ni tusi kubwa sana sana sana. Haya karibu mama Janet nawe utakua makamu siku zijazo. Nakuheshim sana mama ila sina namna ndio umeolewa na Mugabe wetu!!
 
haya sasa Mugabe anataka kupinduliwa askofu sijui atatuambia nini,ama atameza matapishi yake
 
Wanamwagiana sifa kama mchele tu
348846ca9a1a3dac2c6f017e0677ebf3.jpg
7387431d38173068eca3a467a299affe.jpg
 
Zimbabwe imeimalika sasa
Baba askofu ametoka uko juzi tu
Don't misleading concept plzzz
 
Back
Top Bottom