Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
29a49d629149afb1ae065243c4cc7a50.jpg


 
Nadhani anko Magu atakuwa kamwelewa vizuri...

Maana kufananishwa na Mugabe kuna maana pana sana...

Hongera Baba Ngosha... naamini utakuwa rais wetu wa Maisha ili tufaidike kama Zimbabwe...


Nadhani Roma Mkatoliki hana sababu tena ya kwenda Zimbabwe
 
Anaijua zimbabwe au kaamua kumtusi presidaa
Ukiona ofisi ya rais inaamua kutoa taarifa hii ya askofu kuunga mkono juhudu za JPJM ujue kama ni matusi rais ameyafurahia sana. Na huwezi kutegemea la tofauti toka kwa MTU ambaye anafurahia sana kusifiwa.

Hata hivyo siamini kama huyo askofu anaifahamu Zimbabwe vizuri kwa sababu mtu anayeifahamu Zimbabwe hawezi kuomba Tanzania iwe kama Zimbabwe. Hawezi!
 
Back
Top Bottom