KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,318
Hayo ndo magazeti ya uchochezi yanayosubiri kutumbuliwa.
Sio bakwata wameshiba pilau wamelala tu, kila kitu kumsifia mtukufu
Sio bakwata wameshiba pilau wamelala tu, kila kitu kumsifia mtukufu
Sio bakwata wameshiba pilau wamelala tu, kila kitu kumsifia mtukufu
Ukiwapa na ubwabwa na ndizi watakuabuduSio bakwata wameshiba pilau wamelala tu, kila kitu kumsifia mtukufu
JF hukosi kuchekaUkiwapa na ubwabwa na ndizi watakuabudu
Sio bakwata wameshiba pilau wamelala tu, kila kitu kumsifia mtukufu
Waislam wanajua njaa upungufu wa vua namambo yote msimamizi ni mungu ndio mana mufti amesema waislam nchi nzima tuombe mungu ambae ndio anae sitaili kuobwaMufti ni rafiki mkubwa wa kiongozi wetu na ndio anayesemekana kumshauri akashaurika. Mufti anaelekea kupotea kama hayuko imara kuliongoza kundi lake.
Sijazungumzia uislam nimezungumzia bakwata, mimi mwenyewe mwislam shughulisha ubongo na si tigo kaka poaChuki za udini zitakuua.baba yako amesema nini kuhusu njaa?
Bakwata nao leo wametoa tamko lao!!Bakwata waseme nini iwapo mkuu amesema hakuna njaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijazungumzia uislam nimezungumzia bakwata, mimi mwenyewe mwislam shughulisha ubongo na si tigo kaka poa
Bakwata mbona wamewataka waislsmu kuombea baa la njaa na ukame.Bakwata waseme nini iwapo mkuu amesema hakuna njaa.
Mimi ni mkristo, naona tunataka kutoka kwenye mstari. Tujielekezeni kwenye hoja,masuala ya imani ni kila mmoja wetu na awe na uhuru wa kuwa na imani apendayo na sio kuingiliwa na mtu. Hizi dhihaka tufanyeni sehenu zingine lakini katika masuala ya kiimani.Bakwata in tawi ccm kama vile umoja wa akina mama au baraza LA wazazi
Ni taasisi pekee ya dini inayojengewa ofisi na serikaliBakwata in tawi ccm kama vile umoja wa akina mama au baraza LA wazazi
Kama magazeti yalivyonunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara,kwa hawa maaskofu sijui atasemaje,hawa hawana beiLowasa kampa hela nimeota!