fnyinge
Member
- Jan 2, 2017
- 22
- 38
Kwani uongo sasaAcha dharau na lugha za kejeli ndg yangu, huo sio ustaarabu, ni kuchochea migawanyiko
Kwani uongo sasaAcha dharau na lugha za kejeli ndg yangu, huo sio ustaarabu, ni kuchochea migawanyiko
Acha ujingaWakristo si MNA uchungu sana.pelekeni unga.
Huyu anajulikana yuko upande upiView attachment 459805
Hawa ndio maaskofu radical, na ambao hawaogopi kusema ukweli kuhusu jambo lolote lile katika Taifa. Wamenena ukweli kuhusu njaa na ukame.
Askofu Ngelemkutwa ameshusha waraka, naye Askofu Niwemugizi katoa waraka kupitia gazeti la Mwananchi na kutoa onyo kwa Taifa
Jamani, si sahihi kuishutumu BAKWATA katika hili. Wao pia wametoa tamko. Kimsingi wanakubali kuwa kuna njaa.Sio bakwata wameshiba pilau wamelala tu, kila kitu kumsifia mtukufu
Hivi wakati anawaponda wahaya kuhusu ngono, UKIMWI, tetemeko na katerelo, si alikuwa ametoka kuibusu Pete ya Askofu, je hao maaskofu kuna aliuethubutu hata kulikemea hilo.?Bakwata waseme nini iwapo mkuu amesema hakuna njaa.
Acha uchokoAcha ujinga
Endelea kulala uote vizuri. Hiyo ndoto ilikuwa trailer halikuisha umeikatizaLowasa kampa hela nimeota!
Caritas itapeleka mkuuWakristo si MNA uchungu sana.pelekeni unga.