Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,844
- 40,481
Nilijua soon watamchoka tu. Hawa nao awaite wachochezi na afunge makanisa na misikiti maana yeye na serikali yake hawavumilii uchochezi.Hawa ndio watu pekee wanaoweza kubadili fikra za mkuu wa kaya.
Kama wameamua kufunguka ukweli basi tutegemee kuona mabadiliko ya kiutendaji serikalini