nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
hilo gazeti litaitwa chochezi muda sio mrefu....
Amejengeo ofisiKuna yule bingwa wa kujipendekeza Sheh wa Dar nasikia anapress conference leo ya kuwajibu TEC
Wote tuombeane hakuna mtu wa kuombewa pekee.Kama kweli anawakubali, kuwaheshimu na kuwaona kama daraja la Mungu basi na awasikilize viongozi hawa wa kiroho, akifanya hivyo hata sie tutamwombea
call a spade a spade not a big spoonView attachment 459805
Hawa ndio maaskofu radical, na ambao hawaogopi kusema ukweli kuhusu jambo lolote lile katika Taifa. Wamenena ukweli kuhusu njaa na ukame.
Askofu Ngelemkutwa ameshusha waraka, naye Askofu Niwemugizi katoa waraka kupitia gazeti la Mwananchi na kutoa onyo kwa Taifa
Baraza kuu la waislam Tanzania BAKWATA limewataka Maimamu na Mashehe katika misikiti kuwaongoza waislamu nchini kuliombea dua taifa kupata mvua pamoja na kuondoa ukame na baa la njaa lililolikumba taifa.
Chanzo: ITV
Wapeleke mara ngapi? Unaijua CARITAS wewe?Kama ana uchungu.mwambieni apeleke hela za sadaka,wakanunulie unga.
Naliamini sana Kanisa Katoliki Takatifu la Mitume.
Uhuru na mzalendo yanakutoshaHaya magazeti sijayanunua na kuyasoma kwa muda mrefu sasa kwa hiyo hata habari hii siijui kwa undani na niseme sichangii lolote mpaka iwekwe habari nzima hapa jukwaani.
Asante.
Tutapeleka tu imani yetu inatuongoza na kutuelekeza kuwajali wenye mahitajiWakristo si MNA uchungu sana.pelekeni unga.
Sawa pelekeniTutapeleka tu imani yetu inatuongoza na kutuelekeza kuwajali wenye mahitaji
Kama wamepeleka mbona wanalia lia njaa?Wapeleke mara ngapi? Unaijua CARITAS wewe?
Hauwezi kuutenganisha uislam na bakwata.sawa mama?Sijazungumzia uislam nimezungumzia bakwata, mimi mwenyewe mwislam shughulisha ubongo na si tigo kaka poa