Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Hawa ndio maaskofu radical, na ambao hawaogopi kusema ukweli kuhusu jambo lolote lile katika Taifa. Wamenena ukweli kuhusu njaa na ukame.
Askofu Ngelemkutwa ameshusha waraka, naye Askofu Niwemugizi katoa waraka kupitia gazeti la Mwananchi na kutoa onyo kwa Taifa