Askofu Niwemugizi: Rais atathmini msimamo suala la njaa

Askofu Niwemugizi: Rais atathmini msimamo suala la njaa

Sio bakwata wameshiba pilau wamelala tu, kila kitu kumsifia mtukufu
Hata hivyo matamko ya maaskofu hayapo kipindi hiki kuliko kipindi cha kikwete! Imani ya Kikwete ilimponza dhidi ya maaskofu.
 
Baa la njaa linatuchezesha reggae kwenye bluziii.....Pogba hana habari ndo kwanza anaporomosha mvua ya matusi na kebehi.
 
Mimi ni mkristo, naona tunataka kutoka kwenye mstari. Tujielekezeni kwenye hoja,masuala ya imani ni kila mmoja wetu na awe na uhuru wa kuwa na imani apendayo na sio kuingiliwa na mtu. Hizi dhihaka tufanyeni sehenu zingine lakini katika masuala ya kiimani.

Mkuu hujasikia kinachoondelea, inasemekana Bakwata sio dini bali dini ni uisilamu. Jaribu kutenga dini na kundi.
 
kwenye vikao vya TEC wawe wanamshauri.na pengo...
 
Wakristo si MNA uchungu sana.pelekeni unga.
Jf niliyojiunga kweli ndio hii au imebadirishwa maana watu kama huyu hawakupewa nafasi au Mods mnataka ruzuku kwakua mtandao wenye wateja wengi
 
Back
Top Bottom