#COVID19 Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona

Mtaani kwangu hakuna hata mtu mmoja aliyekufa kwa corona ila ukisoma habari kwenye mitandao utafikiri watu mitaani wanakufa sana.
 
Kila siku mnahitaja Brazil! Mbona nchi zilizokuwa na lockdown Kama US Ina vifo vya kutisha huzitaji?
Marekani inafanana kidogo sana na sisi. Trump alijaribu umagufuli, ukamshinda maana kule wajanja wengi, huwezi kuzuia data. Lockdown ilitumika, maambukizi sasa yanashuka ndo wanaachia taratibu.

Tunaipenda Brazil sababu kule wana "kichaa" kama wa kwetu. Kali zaidi amekomaa na umagufuli japo data zinamuumbua.
 
Mwanzoni niliogopa kidogo hizo comments zako lakini nilifarijika baada ya kuona jina lako mkuu.
Jamaa hakukosea kujiita "Bia yetu". Full time kalewa. Ila kwake yeye, "Bia" inaweza kuwa sio tu Serengeti Laiti au Safari, bali pia Kangara, Kimpumu, Komoni, Kindi, Muyakaya , Rubisi, gongo, pingu, nk.
 
Vipi huyu baba askofu alitangaza kuisha kwa corona ndio akaruhusu ibada?
 
Back
Top Bottom