Askofu Malasusa ni msariti km Yuda, hapaswi kuonewa aibu, ni lzma aombe radhi km yule wa Mtwara, asilete kiburi ndani ya kanisa kwani Kiburi ni dhambi kubwa! Mwenye Akili timamu, alimwona Askofu Malasusa ni msariti pale alipokwenda Airport. Viongozi wa Dini wanapaswa kuwa makini na kujiepusha na mitego ya wanasiasa maana hawa watu wana hira mbaya, viganja vyao vya mikono vimejaa damu za watu wasiyo na hatia! Ninawashangaa viongozi wa Dini wanaojiweka karibu na Utawala huu uliojaa dhambi ya utekaji wa watu na uuwaji wa watu wa Mungu wasiyo na hatia. Ukiona Kiongozi wa Dini anauunga mkono utawala huu basi ni mmoja wao ktk kumwaga Damu ya watu wasiyo na hatia! Kiongozi mwenye Roho ya ki-Mungu hawezi kuchangamana na waovu wa aina hii