Askofu Malasusa na Waraka wa Leo

Askofu Malasusa na Waraka wa Leo

Wekeni waraka alougomea Malasusa tuuone msitupigie domo kaya ili tuchangie vizuri
 
Wewe mwenye kujua nihabarishe! Yaani wewe unajua kuliko maaskofu wenye waraka wao au ni hiyo njaa ya buku saba inakusukuma? Mwalasusa should step down from that day aliyokataa kuusoma waraka ule na asiing'ang'anie ofisi ya watu! Na kama unampenda utamfuata atakakokwenda!
 
Nilikuwa kanisa la KKKT Usharika wa Kariakoo leo ujumbe hajapokelewa positively....baada ya waraka kusomwa washarika walikuwa kimya tu na Mchungaji akaendelea na mambo mengine
Kuna baadhi ya watu bado wanadhani huko makanisani bado kuna waumini wapiga makofi watupu kwa kila jambo watakalo leta!
 
ndie alienunuliwa na chadema kuandika waraka wa kisiasa , na kushinikiza usomwe kanisani , wakati kanisa ni madhabahu ya Mungu.
...na ccm imemunua Malasusa so ngoma Droo
 
Nilikuwa kanisa la KKKT Usharika wa Kariakoo leo ujumbe hajapokelewa positively....baada ya waraka kusomwa washarika walikuwa kimya tu na Mchungaji akaendelea na mambo mengine
Hapo jua kuwa Waumini WAMEUPOKEA
KKKT ina Dayosisi 21 (hivyo ina maaskofu 21) hawaingiliwi na Dayosisi yoyote iwe kumsimika Uaskofu au kumtoa, kila Dayosisi inajitegemea
Waumini wa mashariki na Pwani hasa hapo Dar hawawezi kutoa askofu Malasusa
ana sifa nyingi tu, na licha ile ya umri mdogo alipoweza kuchukua Askofu Mkuu pale palipotokea kinyang'anyiro cha maaskofu wazee kule Iringa
Hofu ni kwamba anaweza tena kurudi licha ya kubambikiwa kashfa za ngono na wizi
labda nikufahamishe hakuna Dayosisi tajiri na yenye maendeleo ya kasi km Mashariki na Pwanichini ya Malasusa, na wakiitenga Askofu hataachia na michango ya fedha huko Makao makuu Arusha fungu litapungua
shika yangu Askofu Dr Malasusa hatang'oka kupitia waumini wa nje na mitandao
 
Leo kwenye makanisa yote ya KKKT mashariki na pwani umesomwa waraka ambao ni kama umemsafisha Askofu Malasusa na wakati huohuo kama halmashauri kuu imekiri kuwa alichofanya Malasusa ni kosa.

Sasa najiuliza kwanini Askofu hakuwaomba radhi tu Maaskofu wenzake badala ya kuendelea na misimamo ambayo itazidi kuligawa kanisa.

Kama amekiri kuwa haikuwa lengo la Dayosisi kuzuia waraka ule, why now wanakuwa kama wanawaomba waumini msamaha?

Hili jambo Dayosisi waliangalie kwa umakini.
Uchochezi
 
Malasusa anatumika na serikali kufifisha mapambano ya kudai haki na usawa dhidi ya wanyonge wa nchi hii kupitia Kanisa ambalo ndio wajibu wake
kwa hiyo maaskofu wetu ndo wameamua kupambana ili walutheri tuondokane na unyonge?
 
hajayumbisha muumini yeyote . kwa kua zile nyaraka hazihusiani na maneno ya Mungu , bali ni maneno ya binadamu
Hivi maneno ya Mungu ni yepi na ya binadamu ni yepi ndani ya kanisa? Au asemaye utawala huu mbovu was Magu ni binadamu bali asifiaye ndio amasema maneno ya Mungu?
 
Inaelekea hujui kutofaitisha siasa na haki. Askofu Tutu hakuwa mwanasiasa tulimkumbatia kwa sababu alikuwa akipigania haki za wananchi, askofu hatakiwi kusubiri maiti kanisani kisha aseme mungu amempenda zaidi marehemu, anatakiwa kuzuia kwa kukemea.
Zaka za wauza ngada zimetoweka makanisani, Mambo hayaendi!
 
Hivi maneno ya Mungu ni yepi na ya binadamu ni yepi ndani ya kanisa? Au asemaye utawala huu mbovu was Magu ni binadamu bali asifiaye ndio amasema maneno ya Mungu?
Maneno ya Mungu yapo, kwenye vitabu vitakatifu vya Mungu , sio kwenye nyaraka za vibarazani ufipa
 
Malasusa kama aliweza kupokea amri toka kwa Makonda hadi akafikia kutamba kuwa "katika Mkoa wangu hakuna cha waraka wala matamko" alikubali kudhalilisha kanisa hivyo asiendelee kuwayumbisha waumini
nakama shoo aliweza kupokea amri kwa chadema ili kuingiza siasa ktk kkkt
 
Leo kwenye makanisa yote ya KKKT mashariki na pwani umesomwa waraka ambao ni kama umemsafisha Askofu Malasusa na wakati huohuo kama halmashauri kuu imekiri kuwa alichofanya Malasusa ni kosa.

Sasa najiuliza kwanini Askofu hakuwaomba radhi tu Maaskofu wenzake badala ya kuendelea na misimamo ambayo itazidi kuligawa kanisa.

Kama amekiri kuwa haikuwa lengo la Dayosisi kuzuia waraka ule, why now wanakuwa kama wanawaomba waumini msamaha?

Hili jambo Dayosisi waliangalie kwa umakini.
KKKT haina namna nyingine isipokuwa kuondokana na wale wote wenye harufu ya kisaliti.
 
Leo kwenye makanisa yote ya KKKT mashariki na pwani umesomwa waraka ambao ni kama umemsafisha Askofu Malasusa na wakati huohuo kama halmashauri kuu imekiri kuwa alichofanya Malasusa ni kosa.

Sasa najiuliza kwanini Askofu hakuwaomba radhi tu Maaskofu wenzake badala ya kuendelea na misimamo ambayo itazidi kuligawa kanisa.

Kama amekiri kuwa haikuwa lengo la Dayosisi kuzuia waraka ule, why now wanakuwa kama wanawaomba waumini msamaha?

Hili jambo Dayosisi waliangalie kwa umakini.
KKKT NI ZAO LA USALITI NA MSALITI HATAKUWA SALAMA KAMWE
 
Haligawiki , fikiria walioguswa na madhira jinsi walivyofarijika. Nani atamuunga mkono malasusa asiyetaka jambo la lisu, axory kuhama vyama Ben lisiongelewe?. Kifupi malasusa ndio kawaumiza sana waumimi siku moja ataljua hilo.
Kanisani ni mahali patakatifu , pa kuhubiri neno la Mungu , sio pa maongezi ya watu na matakwa yao binafsi
 
Nasadiki kwa Kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume
 
Back
Top Bottom