Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,054
- 18,021
Siasa ilikuwepo makanisani long time ago!! Na makanisa yaliitambua siasa kama mhimili wa mamlaka ya kidunia ambayo ambayo kanisa linawajibika kwake kwa kiwango kikubwa!! Hakuna ushirika usio na ushirikiano!!Chadema inamtumia Dr Shoo kuingiza siasa Kanisani!