Askofu Malasusa na Waraka wa Leo

Askofu Malasusa na Waraka wa Leo

Sure, Ndio maana wanapokea pesa kama za escrow etc. Kwa sababu wakitoka nje ya madhabahui wanakuwa watu Wa kawaida sio watumishi Wa Mungu. Na hawatakiwi kuonya juu ya maisha ya watu kama dhuluma, mauaji, tabia mbaya kwa sababu ni mambo ya jeshi la Polisi.
Kwa kweli sasa hivi na-review ulutheri wangu. Makanisani kuna wahuni na wapiga dili tu miaka hii.
Naiangalia KKKT iliokuwa kinara wa kuboresha huduma za jamii, kama shule, vyuo, hospitali nk. Ni miaka mingi inapita makusanyo ya sadaka yapo lakini kanisa limebaki na vyuo, hospitali zile zile miaka yote. Hakuna tena mwendelezo. Kila dayosisi wanajilia vyao hawajui mapungufu na mahitaji ya waamini wao katika kila kona ya nchi hii hivyo wayafanyie kazi, sio kipaumbele tena??
 
Kuna deal tu zimebaki. Unajua hizo hospital shule zilikuwa chini ya wachungaji Wa kizungu. Anza junior seminary hospitals etc. That's why unaona mikorogano tu. Ila Imani yako haitakiwi kutikuswa kwa kumuangalia Mchungaji maana hatakuwa wakili wako siku ya kiama.
 
Wewe nawe ni dhaifu kuliko huyo dhaifu mwenzako! Alishiriki kila hatua hadi mwisho na kuweka sahihi siyo? Kitu gani kilimfanya asiusimamie kama walivyokubaliana? Nipunguzieni unaaa kidogo maana kujiita askaofu huku ukiwageuka wenzako ni zaidi ya unafiki. Kimemwasha nini sasa kuomba msamaha kwa waumini wa jimbo lake? Au hao wa ufipani unaodai nao wamemkalisha? Tumia makalio kukaa na sio kufikiri!
Kwanza kabisa , kumtukana mtu ndio uthaifu wenyewe , ndio ile semi inayosema unapomnyooshea mwenzio kidole vinne vinarudi kwako,
Alishiriki au alishinikizwa ? Mashinikizo kutoka kwa kamanda shoo , huo msamaha uko wapi ? Shoo anazidi kuonyesha kuwa anaendesha kanisa atakavyo yeye , mnamuwekea maneno mdomoni , hahaha , leteni clip hapa tumuone anavyotubu , Usituletee makalio yako hapa kama ulivyojitambulisha kuwa wewe makalio ndio kila kitu.
Hivi huko kwenu kwa kamanda shoo uaskofu mtu anajiita? Au anakua na sifa za kuwa askofu, hapo ndio unazidi kujidhihirisha ukichwa maji wako, "empty set" ha ha ha
 
Shoo ni askofu mkuu wa kkkt nchini aliyemshinda huyo Malasusa wako kwa kura nyingi tu. Unalitambua hilo? Kama kanisa lote la kkkt Tanzania lipo cdm basi una haki ya kumtuhumu huyo malasusa wako kwa kuwa double standard na sio Shoo. Ushabiki na uteam polepole utakutesa sana kwani unakunyima fursa ya kuwa huru kichwani! Na kama siku hizi akili unazikalia na kufikiri kwa kutumia tumbo ni sawa! Mtazidi kuaibika sana kipindi hiki kwani kika mission yenu inayoongozwa na DAB inafeli mchana kweupe! Useme ukweli uwe huru kuwa malasusa kalikosea kanisa la dar na dayosisi yote na ndio maana kaandika barua ya kuomba radhi iliyosomwa jana dayosisi yote pamoja na ule waraka! Upo wewe kilaza mmenya viazi wa lumumba!!!!!
 
Hii nguvu anayotumia Malasusa kwenye huu utetezi angeitumia kuusoma ule Waraka aliomuuzia Bashite siku moja kabla ya Ibada.
 
Wewe nawe ni
Shoo ni askofu mkuu wa kkkt nchini aliyemshinda huyo Malasusa wako kwa kura nyingi tu. Unalitambua hilo? Kama kanisa lote la kkkt Tanzania lipo cdm basi una haki ya kumtuhumu huyo malasusa wako kwa kuwa double standard na sio Shoo. Ushabiki na uteam polepole utakutesa sana kwani unakunyima fursa ya kuwa huru kichwani! Na kama siku hizi akili unazikalia na kufikiri kwa kutumia tumbo ni sawa! Mtazidi kuaibika sana kipindi hiki kwani kika mission yenu inayoongozwa na DAB inafeli mchana kweupe! Useme ukweli uwe huru kuwa malasusa kalikosea kanisa la dar na dayosisi yote na ndio maana kaandika barua ya kuomba radhi iliyosomwa jana dayosisi yote pamoja na ule waraka! Upo wewe kilaza mmenya viazi wa lumumba!!!!!
We empty set, huko lumumba viazi vya nini , acha ujinga wako wa kuongea vitu usivyovijua , kwa akili yako finyu,nyie kwenu ufipa kama mnamenya viazi huko huko kwa empty set wenzio isituletee hapa , barua kaandika, ulimuona ? Barua aandike shoo useme malasusa kaandika , hovyooo, leta clip alio omba radhi hapa , mambo yakumwekea maneno mdomoni muache , leta clip hapa.
 
Mimi katika huu waraka wa halmashauri ya dayosisi ya mashariki na pwani sijaona mahali malyasusa akiomba radhi. Ninachokiona hapa ni kama katibu ndio anawaomba radhi waumini na ndio anamwomba radhi malyasusa.
D.M.P mtazameni pia huyu katibu huenda ndie sumu kanisani. Hata malyasusa alisikika akisema kuna waliozuia waraka na sii yeye.
 
Sijawahi kuona barua ya ajabu iliondikwa na halmashauri kuu ya DMP Pwani yenye maudhui ya kumsafisha Malasusa.Barua hiyo imejaa chembechembe za rupia kutumika kumsafisha Malasusa, kwanza inakiri hatua zilizochukuliwa na maaskofu wa KKKT waliokaa kuazimia kuwatenga Malalasusa na wenzake ,halafu papo hapo tena wanapingana na hatua za maaskofu hao kwa kuandika barua inayotaka DMP Pwani kumtambua Malasusa kama kiongozi wao na wadumishe amani na umoja.Haya ni maajabu ambayo nayaona ni kama ya kufungia mwaka huu wa 2018.Haiwezekani maamuzi ya maaskofu wote wa KKKT yatenguliwe na Dayasisi moja inayoongozwa na kiongozi anaetuhumiwa kukiuka taratibu za ngazi ya juu.Hapa pana nguvu ya pesa imetumika na hali kama itakuwa hivyo basi hapa tayari BUNDI WA MGOGORO KKKT AMESHATUA.Kinachofuata ni kuona tu jinsi gogoro litakavyokuwa linatokota na mwisho kuligawa kanisa.
 
Back
Top Bottom