Askofu Kakobe: Ninapomwambia mtu atubu dhambi zake halafu akakasirika, mtu huyo ni mtoto wa haramu

Askofu Kakobe staafu hakuna mtanzania hata mmoja ambaye Sio uzao haramu mababu huko nyuma walikuwa na wake lukuki wengi nin uzao haramu ukiwemo wewe Kakobe neema ya Mungu ndio imetuhurumia ingekuwa Mungu anafutilia mbali kizazi Cha wanaharamu Kakobe usingepona sababu mababu wa babu zako hawakuwa watu wa mke mmoja mme mmoja ndoa ya kanisani na more wa kwanza na wewe Ni kizazi Cha wanaharamu uliyehurumiwa tu na Mungu kwa neema.Acha kuhukumu wengine koma kabisa
Acha sweeping statements, wewe na uzao wako ndio haramu! Sisi wengine tumezaliwa kwenye mila za asili wakati concept ya Mungu haijakuwepo na masharti kibao!
 
Mtumishi wa Mungu na Askofu mkuu wa kanisa la Full gospel Bible fellowship, Askofu Zacharia Kakobe, amesema anapo mwambia Mtu Atubu dhambi zake halafu mtu huyo akakasirika, mtu huyo ni mtoto wa haramu.

Kakobe amesema mtu asijisumbue kumpiga vita kwani ameruka vihuzi na kukwepa mishale mingi mpaka umri alio fikia sasa.

Ameendelea kusema kuwa kuna watu walifanya sherehe na kupeana chiazi kuwa wame mmaliza Lakini wakashangaa kumuona Kakobe anaendelea kudunda tuu.

Ameyazungumza hayo ktk sherehe za uzinduzi wa Jukwaa la kumuhubiri Kristo kwa pamoja linalo undwa kwa pamoja na watumishi watatu ambao ni Mtume Dr. Fernandes wa Agape ministries, Askofu Sylvester Gamanywa wa Wapo international ministries na Zacharia Kakobe wa Full gospel Bible fellowship.

Hayo mawe ya Askofu sijui yatampata nani huko gizani ila ukisikia uwiii ujue limempata muhusika.

Haya mavichaa bwana!
 
...mda si mrefu ataambiwa aonyeshe makabuli ya babu na Bibi zake kama kweli ni mwanakaya wa hapa..alafu mbona anaongea kwa mafumbo si afunguke anaogopa Nini wakati kila siku wanatuhubilia ukiwa na ulinzi wa yesu hakuna awezae kukugusa! au ndo kutupiga misadaka yetu kwa maneno ya kusadikika wakati wao wanamnyali jiwe na kokoto wake (bashite wake)
Kwenye Biblia kuna kitabu kinaitwa MITHALI. Je, nayo inaweza kusemwa ni vijembe?
 
Acha sweeping statements, wewe na uzao wako ndio haramu! Sisi wengine tumezaliwa kwenye mila za asili wakati concept ya Mungu haijakuwepo na masharti kibao!
Kwenda zako huko mwanaharamu wewe mtoto wa aliiyelaaniwa na Nuhu wa Biblia .Dini Tena ya kuletewa na wazungu umeijua juzi tu unapanua pua utafikiri babu wa babu yako utafikiri alizaliwa Bethlehem wakati lilikuwa Pagani tu lenye Mike kibao na wewe Wala si mtoto hata wa mke wa kumi wa babu wa babu yako Ni uzao wa hawara tu aliyelalwa kichakani mimba ndio ikatungwa huko vichakani
 
Kwenda zako huko mwanaharamu wewe mtoto wa aliiyelaaniwa na Nuhu wa Biblia .Dini Tena ya kuletewa na wazungu umeijua juzi tu unapanua pua utafikiri babu wa babu yako utafikiri alizaliwa Bethlehem wakati lilikuwa Pagani tu lenye Mike kibao na wewe Wala si mtoto hata wa mke wa kumi wa babu wa babu yako Ni uzao wa hawara tu aliyelalwa kichakani mimba ndio ikatungwa huko vichakani
Utakufa bila kuolewa, utagawa mpaka!
 
Utakufa bila kuolewa, utagawa mpaka!
Hakuna mtanzania asiye ukoo wa mwanaharamu Tanzania akiwemo Kakobe na wewe .kujua dini ya wazungu juzi mnajitia nyie Sio Wana haramu wakati Ni kizazi kilicho haramu kwa mababu na Mabibii zenu Ni uzao wa wanaharamu.Nilishawahi mporomishea shehe mmoja aliyekataa mtoto aliyezaa nje kuwa hamtaki kisa mwanaharamu .Mbona alimchukua.Kakobe nimemstahi ningemporomoshea matusi ya nguoni akome na asirudie Tena kumwita mtu yeyote mwanaharamu.
 
Hakuna mtanzania asiye ukoo wa mwanaharamu Tanzania akiwemo Kakobe na wewe .kujua dini ya wazungu juzi mnajitia nyie Sio Wana haramu wakati Ni kizazi kilicho haramu kwa mababu na Mabibii zenu Ni uzao wa wanaharamu.Nikishawahi mporomishea shehe mmoja aliyekataa mtoto aliyezaa nje kuwa hamtaki kisa mwanaharamu .Mbona alimchukua.Kakobe nimemstahi ningemporomoshea matusi ya nguoni akome na asirudie Tena kumwita mtu yeyote mwanaharamu.
Nakwambia utakufa bila kuolewa na uzao wako wa haramu. Ni wwe tu wengine usiwaingize. Sema ulizaliwa kutokana na mama na baba haramu! WEWE, SI WENGINE JISEMEE WEWE MWANAHARAMU
 
Watanzania ni wavivu wa kufikiri, mnajadili mada bila kuomba /kuuliza clip nzima ya uzinduzi ...

Itafuteni hiyo clip, maana imechukua masaa4, anahubiri.

Msilishwe maneno.
 
Nakwambia utakufa bila kuolewa na uzao wako wa haramu. Ni wwe tu wengine usiwaingize. Sema ulizaliwa kutokana na mama na baba haramu! WEWE, SI WENGINE JISEMEE WEWE MWANAHARAMU
Uanaharamu Ni kizazi hauhesabiwi tu kwa baba yako na mama yako tu hao wazazi wako walikuwa Sio wanaharamu?
Biblia inasema semezaneni kweli ninyi kea ninyi wewe na Kakobe ni kizazi Cha wanaharamu kilichosamehewa dhambi kwa neema tu wala si kwa ujuaji wenu au wazazi wenu .Mumezaliwa kizazi kiovu Cha wanaharamu ila Mungu tu kwa neema yake akawaona .Acheni kujihesabia haki mafarisayio nyie laana ikurudie wewe na vizazi vyako hayo uliyoniltamkia Mungu asimame katikati yetu akulipe Mara Mia kwa ufarisayo wako na Kakobe wako na hayo matamko yako yawe juu ya uzao wako kwa jina la Yesu
 
Acha sweeping statements, wewe na uzao wako ndio haramu! Sisi wengine tumezaliwa kwenye mila za asili wakati concept ya Mungu haijakuwepo na masharti kibao!
Vipi yule mwanamke ukiyemzulumu chake ili utoke unakumbuka ? Au unesahau ?Mungu anakusubiri usione yuko kimya siku Mungu akikuibukia utalijua jiji
 
Huyu nae ana zeeka vibaya kama yule wa kule external. Mara uwaone na anae tupiwa mawe na kumuombea ila sadaka ikipungua wana jifanya kujirudi.. Tumesha wajua kwa ngozi zenu..
Hawa jamaa utoa maombezi kwa wengine lkn wao magonjwa mazito uwapata kama kawaida na kufa vifo vya kawaida.
 
nimesikiliza clip nzima ya uzinduzi, hakika kakobe kaongea mambo mengi ya busara na halisi katika ukristo na uinjilishaji

mleta mada ebu eleza ukweli alivyoanza kakobe mpaka kufikia hayo maneno na sio kudokoa maneno machache ya nia yako
 
Back
Top Bottom