Askofu Kakobe: Ninapomwambia mtu atubu dhambi zake halafu akakasirika, mtu huyo ni mtoto wa haramu

Mtumishi wa Mungu na Askofu mkuu wa kanisa la Full gospel Bible fellowship, Askofu Zacharia Kakobe, amesema anapo mwambia Mtu Atubu dhambi zake halafu mtu huyo akakasirika, mtu huyo ni mtoto wa haramu.

Kakobe amesema mtu asijisumbue kumpiga vita kwani ameruka vihuzi na kukwepa mishale mingi mpaka umri alio fikia sasa.

Ameendelea kusema kuwa kuna watu walifanya sherehe na kupeana chiazi kuwa wame mmaliza Lakini wakashangaa kumuona Kakobe anaendelea kudunda tuu.

Ameyazungumza hayo ktk sherehe za uzinduzi wa Jukwaa la kumuhubiri Kristo kwa pamoja linalo undwa kwa pamoja na watumishi watatu ambao ni Mtume Dr. Fernandes wa Agape ministries, Askofu Sylvester Gamanywa wa Wapo international ministries na Zacharia Kakobe wa Full gospel Bible fellowship.

Hayo mawe ya Askofu sijui yatampata nani huko gizani ila ukisikia uwiii ujue limempata muhusika.

Hapo lazima atakuwa anawasema Mbowe na Chadema, maana Askofu Kakobe alikuwa CDM, sasa kawageuka baada ya kuona kazi nzuri ya JPM, kila sherehe au uzinduzi wa serikali ya CCM hakosi yupo, naona hili dongo linaenda CDM..!!
 
Kwa nini aongee kwa vijembe mbona awali alikuwa akisema waziwazi mpaka akatujulisha kuwa yeye ni tajiri kuliko Serikali?
Kwani wew unamjua muhusika halisi wa ujumbe huo ?
 
Mtumishi wa Mungu na Askofu mkuu wa kanisa la Full gospel Bible fellowship, Askofu Zacharia Kakobe, amesema anapo mwambia Mtu Atubu dhambi zake halafu mtu huyo akakasirika, mtu huyo ni mtoto wa haramu.

Kakobe amesema mtu asijisumbue kumpiga vita kwani ameruka vihuzi na kukwepa mishale mingi mpaka umri alio fikia sasa.

Ameendelea kusema kuwa kuna watu walifanya sherehe na kupeana chiazi kuwa wame mmaliza Lakini wakashangaa kumuona Kakobe anaendelea kudunda tuu.

Ameyazungumza hayo ktk sherehe za uzinduzi wa Jukwaa la kumuhubiri Kristo kwa pamoja linalo undwa kwa pamoja na watumishi watatu ambao ni Mtume Dr. Fernandes wa Agape ministries, Askofu Sylvester Gamanywa wa Wapo international ministries na Zacharia Kakobe wa Full gospel Bible fellowship.

Hayo mawe ya Askofu sijui yatampata nani huko gizani ila ukisikia uwiii ujue limempata muhusika.
Askofu Kakobe ni mtumishi wa Shetani per se.,
hajawahi kuwa mtumishi wa Mungu,na atabaki hivyo.Huwa anakunjua makucha yake Shetani anapo muhitaji kama sasa.He is Satans' sleeper agent,this is obvious.Kwa nini ajitokeze sasa wakati agenda ya Shetani ya C-19 ipo moto?
 
Back
Top Bottom