Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 719
Yaani ma ccm yana buni heading ya post na kuiweka humu kwa uzushi halafu wenyewe wana kuwa wa kwanza kuiparamia kama nyuki na kujifanya kuchangia, tokeni na uongo wenuLeo CDM watamkana tu
Yaani ma ccm yana buni heading ya post na kuiweka humu kwa uzushi halafu wenyewe wana kuwa wa kwanza kuiparamia kama nyuki na kujifanya kuchangia, tokeni na uongo wenuLeo CDM watamkana tu
Hapo anaisema Chadema hata mtoto mdogo anajua.
Who is kakobe anyways?
Nyi ndiyo wa hamiaji haramu,humjui mtumishi wa Mungu aliye waambia TANESCO wasi pitishe umeme kanisani Akina Ngeleja wakapitisha lakini umeme umeshindwa kuwaka na kupita kwenye nguzo ya kanisani hadi leo.Mungu kulithibitisha hilo kichaa mmoja alipanda kwenye nguzo hiyo na kuchezea nyaya bila madhara yoyote
Hapo anaisema Chadema hata mtoto mdogo anajua.
Kwakifupi
''mtumishi wa Mungu ataka CHADEMA kifutwe mala moja''
...... Mwisho wa kunukuu...
Kwakifupi
''mtumishi wa Mungu ataka CHADEMA kifutwe mala moja''
...... Mwisho wa kunukuu...
Hapo anaisema Chadema hata mtoto mdogo anajua.
Askofu Kakobe ataja vyama vya Kufutwa.
Askofu Mkuu wa Kanisa la
Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe, amezitaka mamlaka zinazohusika kuvifuta vyama vyote vya siasa vinavyoendeshwa kwa misingi ya ukabila havivurugi nchi.
Askofu Kakobe, amezungumza Kanisa kwake hivi karibuni kwenye ibada ya sikukuu ya Krismas alisema miaka kadhaa iliyopita nchi haikuwa akiandamwa na vitendo vya ukabila tofauti na sasa ambapo hali imekuwa mbaya.
Alisema kuna baadhi ya vyama vya siasa nchini ambavyo kwa kipindi kirefu kimejulikana kuwa vinendeshwa kikabila tofauti na sasa ambapo hali imekuwa mbaya.
Alisema kuna baadhi ya vyama nya siasa nchini ambavyo kwa kipindi kirefu vimeendeshwa kikabila, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi.
Askofu Kakobe, alizishauri mamlaka zinazohusika kuvifuatilia vyama hivyo kuvifuta katika orodha ya vyama vya siasa kwani ni hatari katika mustakabadhi wan chi na wananchi wake.
Akizungumza suala zima la uongozi wanachi, hususani kitendo cha mawaziri kadhaa kuondolewa katika nyadhifa zao, alisema ubovu wa viongozi unachangia na mfumo wa kuteua viongozi.
Askofu Kakobe alisema kwa kawaida uongozi ni kipaji, hivyo watu wanapoona kunakuwa na viongozi wasiowajibika kikamilifu, wajue kuwa kuna tatizo katika uteuzi wao. Moja ya tatizo kubwa linaloathiri nchi kwa sasa alisema ni kuchagua watu kwa kuangalia maenao wanayotoka.
Kwahiyo Kakobe ni Yesu au Muhamad?
serikali inahitajika kuheshimu na kutii sauti ya Mungu hiyo kupitia mchungaji wake Kakobe.
Kifuteni CHADEMA hiyo ndio sauti ya Mungu.