Askofu Kakobe ataja vyama vya Kufutwa.

Askofu Kakobe ataja vyama vya Kufutwa.

Status
Not open for further replies.
Mbona kakobe hajataja jina la chama chochote hapa!!! kwa nini mmlishe maneno kwamba kakisema chama fulani??
 
Hapo anaisema Chadema hata mtoto mdogo anajua.

Kama anaisema Chadema basi na yeye kaingia kwenye kosa hilohilo analolisema. Fikiria vizuri msemaji anatoka wapi. siamini kama anailenga cdm moja kwa moja.
 
Mleta maada aidha hakuelewa ujumbe wa Kakobe au ameamua kutofafanua ili apotoshe ujumbe wenyewe!

Mimi nimeusikia ujumbe huo na kuulewa barabara. Kakobe alikuwa akipinga propaganda za ccm wanaosema kuna vyama vya ukanda, ukabila na udini. Hivyo akaishauri serikali kwamba kama inaushahidi wa chama kinacho endeshwa kwa misingi ya udini, ukabila na ukanda wavifute mara moja. Vinginevyo waache propaganda zinazoligawa taifa na kuleta madhara ya muda mrefu toka kizazi hadi kizazi.

Kumbe ndio ilikuiwa hivyo? Ndio maana sikurupuka kucomment kitu,Nilijua it might be something fishy! Unajua tena sikuhizi kwa watu kuzusha vitu! Wana CDM wenzangu tusiwe kama jamaa zetu kujibu mambo ya hovyo pasi na ushahidi!
 
Askofu Kakobe ataja vyama vya Kufutwa.

Askofu Mkuu wa Kanisa la
Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe, amezitaka mamlaka zinazohusika kuvifuta vyama vyote vya siasa vinavyoendeshwa kwa misingi ya ukabila havivurugi nchi.

Askofu Kakobe, amezungumza Kanisa kwake hivi karibuni kwenye ibada ya sikukuu ya Krismas alisema miaka kadhaa iliyopita nchi haikuwa akiandamwa na vitendo vya ukabila tofauti na sasa ambapo hali imekuwa mbaya.

Alisema kuna baadhi ya vyama vya siasa nchini ambavyo kwa kipindi kirefu kimejulikana kuwa vinendeshwa kikabila tofauti na sasa ambapo hali imekuwa mbaya.

A.
Wakati unaandika hukuwa objective kuna drive flani flani ulikuwa nazo kichwani zinakuongoza kuandika jaribu kuziweka wazi. Jipange na ulete taarifa upya.
 
Wakati unaandika hukuwa objective kuna drive flani flani ulikuwa nazo kichwani zinakuongoza kuandika jaribu kuziweka wazi. Jipange na ulete taarifa upya.

Kuhusu utaratibu Mheshimiwa Moderator.
 
Toka chrismass mkuu ulikuwa unajipanga jinsi ya kuiwasilisha mada.
 
Akizungumza suala zima la uongozi wanachi, hususani kitendo cha mawaziri kadhaa kuondolewa katika nyadhifa zao, alisema ubovu wa viongozi unachangia na mfumo wa kuteua viongozi.

Askofu Kakobe alisema kwa kawaida uongozi ni kipaji, hivyo watu wanapoona kunakuwa na viongozi wasiowajibika kikamilifu, wajue kuwa kuna tatizo katika uteuzi wao. Moja ya tatizo kubwa linaloathiri nchi kwa sasa alisema ni kuchagua watu kwa kuangalia maenao wanayotoka
.

Hapo anaisema Chadema hata mtoto mdogo anajua.

?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Kuhusu utaratibu Mheshimiwa Moderator.

Ukweli ni kwamba umepotosha ujumbe alioutoa Kakobe. Sijui kama ilikuwa ni nia yako au hukuelewa. Sikiliza tena ujumbe kama una kaseti ya siku ile ndipo uandike ipasavyo.
 
Ndugu wanaJF, si jambo jema kutosoma vema ujumbe wa mtu na kurukia kuandika mawazo yako tu. Kufanya hivyo ni kuonesha vile usivyo makini.
Askofu Kakobe ni mtu wa kuesimika sana kwani n mmoja wa vionozi wakubwa wa kidini hapa kwetu na kimataifa. Kma mtoa uzi amemkariri sawa bila ya kumlisha maneno basi tuyone haya kwenye huo ujmbe na tuendelee kuto maoni yetu pasina matusi, kejeli au dharau.
Kwanza napnga hoja ya kuwazuia vionozi wa kidini kutoa maoni yao kwa masuala ya kisiasa. Wao wanao wajibu kutoa maoni yao isipokuwaiwe kwa ukweli na bila ya upendeleo.
Kwa hoja ya leo, Kwanza hakuna chama cha muda mrefu kama...................Tena hakuna chama ambacho hata mwaka 2005 mmoja wa wagombea wake uraisi hakupita kwa mara ya pili ka kuwa anatoka Pemba isipokuwa chama cha ..........Tena mwaka huo huo chama kilichokuwa na ilani ya kuipendelea dini Fulani iwe na mfumo wake ni chama cha.................Wote tunajua kuwa chama ambacho kilijiona kulemewa na uovu ya waovu wake iliyowaita magamba ni chama cha ................Nadhani hamjasahau hata yule bwana tembo alivyochoka kubeba mizigo iliyoteuliwa na mwenyekiti wake akazunguka nchi nzima na dogo mropokaji wa chama cha ................. Baba kundambanda alimwambia somo yake kuwa wao kina kundambanda walimchagua yeye(somo yake ) hivyo wanapoona mambo hayaendi asiseme kuwa wale aliowateuwa wanamwangusha kwa uongozi walimpa yeye (somo) ambaye ni wa chama cha .......... kilichoshindaa kwa kishindo. Kweli uongozi ni karama na kwa kusema hivyo , Askofu anaungana na yule dogo wa ubungo asiye na haya wala adabu hata akasema pale mjengoni kuwa nchi hii imefikia hapa ilipo kwasababu ya ...............Izingatiwe kuwa Askofu hakuongea kwa kuwa anatoka kigoma au anaongelea viongozi wa kuchaguliwa bali wa kuteuliwa kama vile dk. Slaa, Mangula, Zitto, Mawaziri, maafisa wa polisi na mashirika mbalimbali, na wakuu wa mikoa na wilaya.
Tafakari kisha chukua hatua ya kukifuta chama hiki kwanza moyoni mwako kabla msajili hajakifuta rasmi.
 
Kama anaisema Chadema basi na yeye kaingia kwenye kosa hilohilo analolisema. Fikiria vizuri msemaji anatoka wapi. siamini kama anailenga cdm moja kwa moja.

Mkuu usiamini propaganda za ajabu ambazo CCM wanazizusha kaika kipindi hiki Hebusoma comment ya huyu aliyekuwepo hapo sehemu husika: Mleta maada aidha hakuelewa ujumbe wa Kakobe au ameamua kutofafanua ili apotoshe ujumbe wenyewe!

Mimi nimeusikia ujumbe huo na kuulewa barabara. Kakobe alikuwa akipinga propaganda za ccm wanaosema kuna vyama vya ukanda, ukabila na udini. Hivyo akaishauri serikali kwamba kama inaushahidi wa chama kinacho endeshwa kwa misingi ya udini, ukabila na ukanda wavifute mara moja. Vinginevyo waache propaganda zinazoligawa taifa na kuleta madhara ya muda mrefu toka kizazi hadi kizazi.
 
Askofu Kakobe ataja vyama vya Kufutwa.

Askofu Mkuu wa Kanisa la
Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe, amezitaka mamlaka zinazohusika kuvifuta vyama vyote vya siasa vinavyoendeshwa kwa misingi ya ukabila havivurugi nchi.

Askofu Kakobe, amezungumza Kanisa kwake hivi karibuni kwenye ibada ya sikukuu ya Krismas alisema miaka kadhaa iliyopita nchi haikuwa akiandamwa na vitendo vya ukabila tofauti na sasa ambapo hali imekuwa mbaya.

Alisema kuna baadhi ya vyama vya siasa nchini ambavyo kwa kipindi kirefu kimejulikana kuwa vinendeshwa kikabila tofauti na sasa ambapo hali imekuwa mbaya.

Alisema kuna baadhi ya vyama nya siasa nchini ambavyo kwa kipindi kirefu vimeendeshwa kikabila, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi.

Askofu Kakobe, alizishauri mamlaka zinazohusika kuvifuatilia vyama hivyo kuvifuta katika orodha ya vyama vya siasa kwani ni hatari katika mustakabadhi wan chi na wananchi wake.

Akizungumza suala zima la uongozi wanachi, hususani kitendo cha mawaziri kadhaa kuondolewa katika nyadhifa zao, alisema ubovu wa viongozi unachangia na mfumo wa kuteua viongozi.

Askofu Kakobe alisema kwa kawaida uongozi ni kipaji, hivyo watu wanapoona kunakuwa na viongozi wasiowajibika kikamilifu, wajue kuwa kuna tatizo katika uteuzi wao. Moja ya tatizo kubwa linaloathiri nchi kwa sasa alisema ni kuchagua watu kwa kuangalia maenao wanayotoka.

Kataja Chama gani ?Mbona sijaona popote kataja Chama na yeye kama wewe wana hisia ambazo hana ushahidi nazo .
 
........" Moja ya tatizo kubwa
linaloathiri nchi kwa sasa alisema ni
kuchagua watu kwa kuangalia maenao
wanayotoka....," CCM wanakanda ya ziwa, mtwara corridor nk!
 
Ametaja vya vyenye my aka mingi ni ccm ndiyo yenye my aka mingi ifutwe
 
Askofu Kakobe ataja vyama vya Kufutwa.

Askofu Mkuu wa Kanisa la
Full Gospel Bible Fellowship, Zacharia Kakobe, amezitaka mamlaka zinazohusika kuvifuta vyama vyote vya siasa vinavyoendeshwa kwa misingi ya ukabila havivurugi nchi.

Askofu Kakobe, amezungumza Kanisa kwake hivi karibuni kwenye ibada ya sikukuu ya Krismas alisema miaka kadhaa iliyopita nchi haikuwa akiandamwa na vitendo vya ukabila tofauti na sasa ambapo hali imekuwa mbaya.

Alisema kuna baadhi ya vyama vya siasa nchini ambavyo kwa kipindi kirefu kimejulikana kuwa vinendeshwa kikabila tofauti na sasa ambapo hali imekuwa mbaya.

Alisema kuna baadhi ya vyama nya siasa nchini ambavyo kwa kipindi kirefu vimeendeshwa kikabila, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi.

Askofu Kakobe, alizishauri mamlaka zinazohusika kuvifuatilia vyama hivyo kuvifuta katika orodha ya vyama vya siasa kwani ni hatari katika mustakabadhi wan chi na wananchi wake.

Akizungumza suala zima la uongozi wanachi, hususani kitendo cha mawaziri kadhaa kuondolewa katika nyadhifa zao, alisema ubovu wa viongozi unachangia na mfumo wa kuteua viongozi.

Askofu Kakobe alisema kwa kawaida uongozi ni kipaji, hivyo watu wanapoona kunakuwa na viongozi wasiowajibika kikamilifu, wajue kuwa kuna tatizo katika uteuzi wao. Moja ya tatizo kubwa linaloathiri nchi kwa sasa alisema ni kuchagua watu kwa kuangalia maenao wanayotoka.

Ingekuwa Uamsho mungesema wanachanganya Siasa na dini, halafu mukawaita majina mabaya magaidi, alshabab na akaida lakini Kakobe mcheza Ndomboloo mule kanisani mda mwengine huwashika madem wa wakiristo viuno eti wabarikiwe hili hamuliongelei., huwa namuonaga chnal10.,
 
Ingekuwa Uamsho mungesema wanachanganya Siasa na dini, halafu mukawaita majina mabaya magaidi, alshabab na alkaida lakini Kakobe mcheza Ndomboloo mule kanisani mda mwengine huwashika wakiristo viuno eti wabarikiwe hili hamuliongelei., huwa namuonaga chnal10.,
 
Ndo maana kadinal Pengo alisema hawezi kubishana na Askofu ambaye hajui aliupataje uaskofu wake.
 
Ingekuwa Uamsho mungesema wanachanganya Siasa na dini, halafu mukawaita majina mabaya magaidi, alshabab na akaida lakini Kakobe mcheza Ndomboloo mule kanisani mda mwengine huwashika madem wa wakiristo viuno eti wabarikiwe hili hamuliongelei., huwa namuonaga chnal10.,
Mzinz ni mzinz tuu eti anawashika viuno...uasherati wako sio wa kila mtu, by the way credibility ya makund ka uamsho na alshabab iko wap...mawazo ya ukabila hayawez kuwa ya chadema kisa kumfurumsha yule kajanja Wa pesa za dear Wa ujeruman....!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom