annabrenda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 1,142
- 399
Josephine alimfungia slaa serena hotel
Hivi unamsikiliza kweli Gwajima? au unahadithiwa tu.Gwajima amekuja kujitetea baada ya kufukuzwa pale Tanganyika peckers na kuhamia pale ubungo.
askofu anakutana bar na mke wa mtu tena wakiwa peke yao, mh...... eti kumbembeleza
Dr. aliamua kumwaga ugali, wacha Gwajima nae amwage mboga sasa!!Naona siasa chafu! Chafu! Chafu!..... Za maji taka.!
Kweli kama Taifa tumepotoka.!
Sasa Ocampo hiyo avatar yako unalia nini? Unamlilia Slaa?
nyie kama mnapata muda wa kufuatilia watu wapuuzi kama akina gwajima kazi za kuwapatia kipato mnazifanya saa ngapi?
Radio gani zipo live?