Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Tunapendekeza Gwanjima achukue nafasi ya marehemu mtoi kugombea Lushoto.Huyu atawafaa sana
GT huyooooo
Tunapendekeza Gwanjima achukue nafasi ya marehemu mtoi kugombea Lushoto.Huyu atawafaa sana
Another STUPID, MESSENGER OF THE COLLAPSED AND UNETHICAL

ni baada ya kuona idadi ya waandishi habari waliohudhuria mkutano wa ukawa chini ya mh mbatia.
watu wenye akili zao wameshaanza kuwastukiwa ukawa. na ukawa wanalijua hilo ndio maana kuna juhudi za kila aina kumuepusha mgombea wao urais kuhudhuria midahao.
eti midahalo iwe ya kimfumo, vishirikishwe vyama sio wagombea urais wa vyama hivyo. kuna kila dalili mgombea wa urais ukawa kutia mpira kwapani siku ya mdahalo.
wamepwaya kweli, mpaka kuwaita wanakondoo unao wachunga kuigiza uanahabari kazi ipo.
Mlipokuwa mnawadharau watanzania na kuwaita wapumbavu na malofa mlizani ni mbuzi ndio mtawatawala!!?ni baada ya kuona idadi ya waandishi habari waliohudhuria mkutano wa ukawa chini ya mh mbatia.
watu wenye akili zao wameshaanza kuwastukiwa ukawa. na ukawa wanalijua hilo ndio maana kuna juhudi za kila aina kumuepusha mgombea wao urais kuhudhuria midahao.
eti midahalo iwe ya kimfumo, vishirikishwe vyama sio wagombea urais wa vyama hivyo. kuna kila dalili mgombea wa urais ukawa kutia mpira kwapani siku ya mdahalo.
http://www.thehabari.com/habari-tanzania/ni-mwiko-serikali-kuwakopa-wakulima-wa-korosho-bi-samia-suluhuni baada ya kuona idadi ya waandishi habari waliohudhuria mkutano wa ukawa chini ya mh mbatia.
watu wenye akili zao wameshaanza kuwastukiwa ukawa. na ukawa wanalijua hilo ndio maana kuna juhudi za kila aina kumuepusha mgombea wao urais kuhudhuria midahao.
eti midahalo iwe ya kimfumo, vishirikishwe vyama sio wagombea urais wa vyama hivyo. kuna kila dalili mgombea wa urais ukawa kutia mpira kwapani siku ya mdahalo.
ni baada ya kuona idadi ya waandishi habari waliohudhuria mkutano wa ukawa chini ya mh mbatia.
watu wenye akili zao wameshaanza kuwastukiwa ukawa. na ukawa wanalijua hilo ndio maana kuna juhudi za kila aina kumuepusha mgombea wao urais kuhudhuria midahao.
eti midahalo iwe ya kimfumo, vishirikishwe vyama sio wagombea urais wa vyama hivyo. kuna kila dalili mgombea wa urais ukawa kutia mpira kwapani siku ya mdahalo.
As your first username/ID so is the thread.
Mtajuta huu mwaka ccm kila kitu kimepwaya
Mlipokuwa mnawadharau watanzania na kuwaita wapumbavu na malofa mlizani ni mbuzi ndio mtawatawala!!?
Ni wakati wa Mabadiliko.
Upinzani wanakimbia midahalo?? Hiki ni kichekesho na maajabu kwenye ulimwengu wa Modern Politics
Inaonekana wewe ni mzito kidogo. Ninachosema ni kwamba, kwa hali ya kawaida kwenye ulimwengu wa siasa za vyamavingi, chama tawala ndo kinapaswa kukimbia midahalo (kama walivyofanya CCM mwaka 2005 na 2010. Ila sasa tunachoona ni kwamba, upinzani ndo wanakimbia midahalo..huoni maajabu hapo..kubalini kuwa mmevurunda...hiyo ni gross miscalculations...tatizo Mbowe ali judge uwezo wa EL kupitia vyomba vya habari (ambavyo vimewekwa mfukoni na EL mwenyewe)..what a shame!!Wewe ndiye unayechekesha maana umekuwa mwepesi mno wa kusahau? Ni lini mgombea wa urais tangu 2005 alishawahi kuhudhuria midahalo? 2010 Kikwete alikimbia akahudhuria dr. slaa na Lipumba tu. Sasa kama mlikuwa hamuoni huo umuhimu wa midahalo leo ni kitu gani kimewasibu hadi mng'ang'anie hiyo midahalo? MAJI YA SHINGO! na bado mtaisoma namba mwaka huu!
Mlipokuwa mnawadharau watanzania na kuwaita wapumbavu na malofa mlizani ni mbuzi ndio mtawatawala!!?
Kufuatia tamko la mchungaji Gwajima juu ya mienendo ya Slaa na kuweka wazi mazaifu ya slaa na kuahidi kuyaweka mengi zaidi hadhalani hivi sasa slaa kanywea kama piltoni na kupunguza mikutano yake na vyombo vya habari, asante sana Gwajima.
Bado hata huku unaendeleza upumbavu wako na ulofa. Siku zingine jaribu kuficha upumbavu wako[/QUOTE. Nikikujibu kwa namna ulivyojibu hakika nitakua kundi moja na wewe sasa naiachia dhamira yako nayo ikupime vivyo hivyo!