Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Mtaweweseka sana mwambieni slaa ajitokeze ajibu muone mziki wa bishop. Slaa amekulia kanisani huwezi kupata ujanja wa mtaani kama hauja ji-mix na kitaa,
kwakifupi slaa mpaka mtoto wangu wa miaka 3 anamdharau...papuchi inamtokea puwani mtu mzima hovyo

kajivua yy mwenyewe kama mchungaji
 
KIRU NACHO FURAHIA...NI KUWA WATU WENGI WANAMSEMA LOWASSA BUT YEYE HAWAJIBU NA MUNGU MKUBWA WANAJIBIWA NA MATENDO YAO WAO WENYEWE, SLAA KAMTUSI MZEE WAWATU AKIDHANIA MZEE ATAACHA KAMPENI AANZE MARUMbano no way mzee yeye mchakamchaka wa maendeleo tu, then soon kubenea na gwajima wametosha...ASANTE MUNGU BABA
 
Safi sana askofu umekata ndebe za Dr mihogo . Dr jifunze kunyamaza kama yesu maana sasa mipango yako ya kuisambalatisha chadema imebuma . Fanya shughuli nyingine dr siasa imekugomea.
 
Hiyo ndo presentation au nini? Gwajima ameongelea Josephine tu, Sisi Josephine anatuhusu nini?
 
mkuu ulimuuliza slaa gwajima alituhusu nini?
tulia dawa iingie
 
Huyu mzee pole pole akitaka ahamie Rwanda amjibu huyu Ask Ngwajima!
 
Mi si amini kama alirecord ila zimetengenezwa tu na kama bingwa wa kurecord kila kitu atuletee na record ya kamati kuu ambayo ilimpitisha Lowassa

Toa ujuha wako hapa,eti record imetengenezwa na si halisi,wana ccm tayari mmeanza kubaha mnaona nyota tu na bado mtakoma mwaka huu,wewe unataka record ya mkutano wa kamati kuu wa kumkaribisha Lowassa ili iweje? Mkutano huo hauhusiani na usaliti,ila tuna record ya mkutano wa TISS ukipanga kuua UKAWA,mwaka huu hamna pa kutokea.
 
Hili laweza kuwa somo zuri na fundisho tosha kwa wale wanaopenda mno kuongea na kufunguka kuhusu mambo yao binafdi
Mazungumzo yote aliyorekodi Gwajima ya mchumba wa Dr Slaa na wengine pia yametufundisha mengi

1: kwamba Dr Slaa pamoja na uwezo wake wote wa kujieleza na kusimamia mambo kwa ufanisi, elimu yake ya theologia na daraja lake LA upadri hakuwa anajiamini na alikuwa dhaifu mno kwenye mahusiano mpaka kutafuta msaada wa Gwajima

2:Zile enzi za usipige picha hapa zimepitwa na wakati kutokana na technolojia kukua

3:gwajima ni mjanja mtoto wa mjini mhuni anayejiamini asiyeogopa chochote aliyeaminika mno na wale waliomwamini na hivyo kumpa nafasi kubwa ya kumwamini na kumwambia yao ya ndani bila kujua kuwa jamaa alikuwa anaweka kumbukumbu kwa matumizi ya baadae, wengi sasa matumbo joto Wakiwa hawana uhakika kama nao walirekodiwa au la

4: Serikali imeshikwa pabaya na kupitia Gwajima mambo mengi yaliyo nyuma ya pazia bila kujifahamu wamempa loophole kubwa sana ya kuyafahamu kwahiyo kuanzia sasa inabidi waende naye kwa tahadhari kubwa la sivyo atazidi kuharibu

Hana uchungaji wowote huyu ni mpiga deal tu
 
Askofu Gwajima ametengua kitendawili kilichosumbua Watanzania wengi,nimejiuliza maswali mengi na kupata majibu machache inawezekana vipi mwanasiasa mwenye nguvu na msomi kama DR Slaa kuishi maisha mabovu kiasi hicho. Je, Dr Slaa angeshinda Urais Ikulu ingekuwaje?kuna haja sasa ya kumulika familiya za Watanzania wenzetu wanaotaka kuingia Ikulu kutuongoza.

Dr Slaa ni kati ya wanasiasa wenye nguvu kubwa,Augustino Mrema naye alikuwa mwanasiasa mwenye nguvu kipindi kile lakini hajaacha kashfa yoyote hasa inayohusisha private life ya kifamilia.

Josephine Mushumbusi ni mtu wa hovyo kabisa mwenye tamaa kubwa ya mali,Ikulu alikuwa anafata biashara hakuna lingine,kashfa zake ni nyingi na tukubali Dr alikosea kujitumbukiza pale

Ushauri wangu kwake
Kubali umeshaharibu sana na nataka ujuwe watanzania wote sasa hivi wamechoka na ccm na wanachotaka ccm iondoke madarakani.

Usijihusishe tena na siasa kaa hukohuko Marekani mpaka tusahau yaliyotokea.

Umejidharaulisha sana kwetu ukiwa kama kiongozi tuliekuheshimu sana,achana kabisa na siasa na ikiwezekana warudishie ccm pesa zao kwa sababu kazi waliyokupa ni ngumu na inaweza kukukosti kabisa
ikiwezekana achana na Josephine na anza maisha mapya kwa sababu una nafasi kubwa ya kurudi tena na kuheshimiwa.

Rosemary Kimaro!


lg fallen giant.jpg
 
Tunahitajika kumuombea Dr Slaa kwani yule mama kashamuweka kwenye chupa, tumuombee kwa Mungu amtoe chupani
 
me sijasikia kama Gwajima amemjibu Slaa nilichosikia Gwajima kamshambulia kwa maneno Dr Slaa na familia yake ufafanuzi tafadhari kwa mwenye taarifa kamili Gwajima kasemaje??
 
Kweli mapenzi kiboko Dr katepepeta Kwa yule chupe.
 
Huyu Slaa sasa sijui ataenda wapi maana hata akifanya biashara najua awezi sasa labda akafuge nguruwe na machatu kule karatu na mimi najua uyo demu wake lazima atamkimbia tu akatafute bwana mwingine.
 
Back
Top Bottom