Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
Gwajima kwao ni MbeyaAskofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha doa.
Si mwanzo mzuri.
n.b.
Nimetonywa na mdau aliyekuwepo.
Wana chuga wanakuambia βimeisha hioβNdiyo imetoka hiyo hadi 2025
Na amewafundisha wale covid 19 utaalamu wa kutengeneza video pendwaGwajima siyo wa kwenu ni wa yule aliyewatuma mumpelekee! Tulieni mnyolewe na kule bungeni ameenda kuendeleza mtanange wa utani kati ya wagogo na wasukuma.
Mafiga matatu. Hahahahaha.Nileteeni Gwajimaa, Nileteeni Gwajimaa, huyo ameshetwa.
Unafikiri alikamata za wizi zote?Katika uchaguzi huu niliwavulia kofia ccm aisee.
Pamoja na Halima kukamata kura za wizi mamia,lakini bado askofu Rashid alishinda kwa kura maelfu kwa maelfu dah.
Alikuwa kanisani akikiombea kikaoAskofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha doa.
Si mwanzo mzuri.
n.b.
Nimetonywa na mdau aliyekuwepo.
Ni kweli mama d.Hata nyumbani kwako kuna tofauti mkuu, hakuna sehemu utaweka watu wawili watatu wote wakawa perfect
Na ndio maana kuna sheria na taratibu popote pale duniani
Ni kweli mama d.
Nyumbani hata watoto wanatofutiana karama,ama talanta.
Mzazi anajua mapema kabisa huyu kwa akili zake atakujakuwa fulani,eg engineer au lawyer,etc
Sasa nyie mlijua kabisa gwajiboy kwa tabia zake huyu ubunge hakuna kitu.
Ila mkawa wapiga Debe wazuri huku mkijua hata wajumbe walimkataa.
Haya sasa ndo Rashid huyo.
Ama alihitaji kupima mwitikioAskofu Gwajima ijumaa iliyopita 18/12/2020 umeita wadau ili kubadilishana mawazo juu ya kero na maendeleo ya wa kazi, Mbezi Juu.
HUKUTOKEA!
Alijitahidi Diwani kukulinda lakini kwa waalikwa limeacha doa.
Si mwanzo mzuri.
n.b.
Nimetonywa na mdau aliyekuwepo.
Ila upungufu mwingine ni kujaribu kuwafanya wote punguani.Tukianza kunyoosheana vidole kwenye mapungufu wengi kama wanadamu wamepungukiwa
πππππNileteeni Gwajimaa, Nileteeni Gwajimaa, huyo ameshaletwa.
Askofu Rashid ni comedian πππππππ
Anawapeleka watu US wakaugue Corona isiyo na dawa
USA au UKAnashughulikia mipango ya kuwapeleka Birmingham kuweni na subra