Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,657
Weka hicho kifungu hapa. Unafikiri wote tuna hiyo bible?Hajaribiwi yeye nani, hata Mungu anajaribiwa
Soma bible kitabu cha Malaki 3:10
Weka hicho kifungu hapa. Unafikiri wote tuna hiyo bible?Hajaribiwi yeye nani, hata Mungu anajaribiwa
Soma bible kitabu cha Malaki 3:10
Anatafuta kiki mkuu!!Lumumba mnachekesha leo Gwajima amekuwa shujaa tena lol.
Mkamanda wameingia ganzi toka jana umeona posts za UKUTA humu?
Wamemuona mfadhili mkuu wa UKUTA anakunywa mvinyo,na mabosi wa ccm,ufipa wamechanganyikiwa
Nadhani sasa anataka apewe kibali arudi kusalia Kawe.Mshengaa anajua kucheza na fursa kwa Lowasa alifuata fedha.
Bila shaka ndio maelekezo aliyopewa baada ya kukamatwa wakati ule wa mwezi wa sitaMshengaa anajua kucheza na fursa kwa Lowasa alifuata fedha.
kwani kikwete alipo msalimia magufuli jana alikuwa akimuomba jpm asimpeleke ktk mahakama ya mafisadi?Lazima apelekwe,Yeye na Rostam ndio watakuwa watu wa mwanzo kupelekwa.
Lazma awe mkweliMshengaa anajua kucheza na fursa kwa Lowasa alifuata fedha.
Huyu chekibobu Ana pesa za kutosha si aina doc mihogoMshengaa anajua kucheza na fursa kwa Lowasa alifuata fedha.
Aanze kwenda yule aliyenunua boti chakavuLazima apelekwe,Yeye na Rostam ndio watakuwa watu wa mwanzo kupelekwa.
Hajaribiwi yeye nani, hata Mungu anajaribiwa
Soma bible kitabu cha Malaki 3:10[/QUOTE
Mkuu soma kwa kujipa nafaśi, huko kujarib ni kwa matoleo, ikitumika kama test si jaribu kama atemp linavyotumika mwanzo na yakobo..
Hvyo Mungu hajalibiwi kwa maana ya ATEMPTATION na anajatubiwa kwa maana ya test...
Asante mkuu
Ndiyo hilo tu mkuu. Asante kwa kuwakumbusha maana wao wanadhani kutumia vyombo vya dola ndiyo kila kitu.Afanye yote,ila aachie demokrasia na mikutano ya kisiasa!cha msingi wanasiasa wafuate kanuni
Wewe leta ngonjera, ila lazima apelekwe, si huwa mnasema mbona hapelekwi Mahakamani.Aanze kwenda yule aliyenunua boti chakavu
Kaa ukijua lazima apelekwe,JPM hatanii. Si huwa mnasema mbona hapelekwi Mahakamani, sasa mtafurahi wenyewe.kwani kikwete alipo msalimia magufuli jana alikuwa akimuomba jpm asimpeleke ktk mahakama ya mafisadi?
Hata baba lowasa pia ni ngonjera unaniuliza ujinga gani sasaWewe leta ngonjera, ila lazima apelekwe, si huwa mnasema mbona hapelekwi Mahakamani.