Ni kweli ana hoja ndo sababu nchi kama Marekani rais anakabidhiwa national policy ambayo inampa direction ya nchi. Shida yangu ni moja tuu, je Magufuli angekuwa hai Gwajima angeongea haya?Gwajima ana hoja
Umemwelewa alichoongea ?
Kila Raisi akija anakuja na yake na kuponda ya mtangulizi wake...
wataka katiba mpya hawataki kusoma yaliyo andikwa... je, katiba watasoma? watataka watu wasome na kuamua kwa niaba yao? au ndio wewe kama umeisoma sina mashaka nkabisa...Kujenga bandari.mpya bagamoyo kwenye ilani ya uchaguzi ya mwaka husika mwambie iko wapi? Sababu kila uchaguzi huwa tuna ilani ya CC ya kipindi hicho tunayoahidi tutafanya kwa Miaka mitano CCM tukiomba kura kaangalie ilani ya 2005 na 2010 kipindi cha Kikwete CCM tukiomba kura ni wapi ilani ilitamka kuhusu ujenzi wa bandari mpya bagamoyo
Akili sio static hata kichaa kuna siku aweza toa hoja .Si vizuri kuwa mtumwa wa historiaNi kweli ana hoja ndo sababu nchi kama Marekani rais anakabidhiwa national policy ambayo inampa direction ya nchi. Shida yangu ni moja tuu, je Magufuli angekuwa hai Gwajima angeongea haya?
Analeta maono gani kama aliyakosa hata ya kugombea akashinda kwa jitihada zake mwenyewe??Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.
Wenye nchi yao wacha wajadili sisi wengine tulishahamia BurundiMbunge wa Kawe, Josephat Gwajima ni muhimu Tanzania kuwa na Dira ya Taifa ili kila Rais anayeingia Madarakani asimamie maono ya Nchi na si yake binafsi...
Nani alipaswa kuwepo?Huyu hakupaswa kuwa bungeni kabisa angeendelea na kazi yake ya kuchunga kondoa za bwana, ila jpm kwa sabb ya ukabila na ukanda kaleta wakina Tom and Jerry
Katiba liliyopo ina shida gani?Ameshindwa kusema kwamba tatizo ni katiba mpya. Ameona akisema hvyo wenzie watamnanga lkn alimaanisha tatizo ni katiba itakayo tengeneza taasisi imara ambayo ndio itamuongoza mtu na siyo mtu kui guide taasisi
Mzee wa fursa. JPM alipoacha ya watangulizi wake wakampamba kwa mapambio kua anayoosha nchi. Sasa hivi kwa kua aliyepo sio chaguo lao ndio wanakumbuka maono ya nchi. Tupa kuleAskofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo...
Na ndiyo alichosema sikiliza acha chuki, naona shida yako ni Magufuli tu.DUUUUU chuki chuki chukiMbona aliyepita aliacha yamtangulizi wake akaanzisha mapya na hakusema?
Tulieni nyie sukuma Gang zamu yenu ilishapita.
Kama ipo kwa nini hawaifuati?Mikakati ya muda mrefu si ndiyo ipo kwenye ilani ya chama cha mapinduzi chenye kurasa 303
Na ndiyo alichosema sikiliza acha chuki, naona shida yako ni Magufuli tu.DUUUUU chuki chuki chuki
Hao wanachojua kumtukana Magufuli! Kiufupi Gwajima anachosema vision iwe ajenda ya kitafa sio Rais! Kama ilivyo sasa Rais ndo hivyo tena mbele Giza!Na ndiyo alichosema sikiliza acha chuki, naona shida yako ni Magufuli tu.DUUUUU chuki chuki chuki
Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.
Ilitakiwa tuwe na ilani ya taifa then vyama vipewe kazi ya kuutekeleza. Watupe mbinu za kuweza kuutekeleza ila sio Kila chama kike na ilani yake.Hivi kwanini hawa marais wanaoongozwa na ilani ya chama chao lakini bado kila mmoja wao huja na lake na kuacha la mwenzake?
Ina maana hawaifuati ilani ya chama chao?
Kama jibu ni ndio, basi ile kauli ya Kinana kwamba CCM ndio wanaiagiza serikali na sio serikali kuiagiza CCM itakuwa ni batili.
Mwingine anaanzia page ya mwisho mwingine anaanzia page ya kwanza ndio tatizoKama ipo kwa nini hawaifuati?
Hili ndio tatizo kubwa "Ilani ya Chama" tunapaswa kuwa na "lani ya wananchi" ili sisi kama nchi tutambue vipaumbele vyetu ambavyo bila kujali nani atashinda uchaguzi, atekeleze vipaumbele hivyo, na akishindwa tum hold responsible! haya mambo ya ilani za chama yanatukwamisha sana.Hivi kwanini hawa marais wanaoongozwa na ilani ya chama chao lakini bado kila mmoja wao huja na lake na kuacha la mwenzake?
Ina maana hawaifuati ilani ya chama chao?
Kama jibu ni ndio, basi ile kauli ya Kinana kwamba CCM ndio wanaiagiza serikali na sio serikali kuiagiza CCM itakuwa ni batili.
Ilani ya CCM sio mbovu kila Raisi akija kuna tabia ya kuchomekea yake ambayo hayamo kwenye ilani iliyotumika kumnadi ambayo huandikwa vizuri mno na wataalamu wabobezi kwenye mambo yaRais anaongozwa na ilani ya chama Cha mapinduzi labda aseme ilani yao ni mbovu ndio nitamuelewa Japo kidogo
Wakati msukuma mwenzanke anatawala hakuyaona haya?Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo
Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani anaongozwa na mikakati na maono hayo na sio kuleta vitu vyake vipya, ama sivyo anaweza akaja Rais wa ajabu ambaye atavuruga kila kitu na hakuna atakeyeweza kumbana kwa kuwa hakuna maono.
AKAYAVURUGA MAFISADI MPAKA YAKAMUUAKama alivyokuja John magufuli halafu akavuruga vuruga kila kitu.