Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,433
- 11,749
Lala na wewe acha wanaume wajadili mambo ya msingi
Msiyemtaka anakuja
Jipangeni tu mwaya!
Nadhani akichaguliwa watu wa Kawe watakuwa hakuna kilio maana MTU akifa Gwajima anamfufua kama wale misukule na yule binti wa sekondari.Ni jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha wananchi wa Kawe.
Dr Gwajima ana weledi mkubwa katika uongozi wa watu kiroho na kimwili na ubobezi wake ameupatia nchini Korea.
Ni mtu mwenye malengo makubwa na naweza kumfananisha na Rais wa sasa wa Malawi.
Askofu Gwajima karibu ulete ukombozi Kawe.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani mshindi wa watatu CCM ndie wa kumpatia Kamanda shida? Hukuna kitu hapo!!Halima safari imewadia!
Acha upimbi,huyu ni tapeli tu Kama wengine,Hana Cha utakatifu wowote,Kama angekuwa na Mungu,asingeongea hivi harafu Leo anafanya tofauti.Ni jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha wananchi wa Kawe.
Dr Gwajima ana weledi mkubwa katika uongozi wa watu kiroho na kimwili na ubobezi wake ameupatia nchini Korea.
Ni mtu mwenye malengo makubwa na naweza kumfananisha na Rais wa sasa wa Malawi.
Askofu Gwajima karibu ulete ukombozi Kawe.
Maendeleo hayana vyama!
Mzee mimi siyo mwanasiasa ingia kwenye profile yangu search post nazotuma hapa uone kama mimi nina chama,nachofanya naandika facts.Nilichogundua chadema mnahofia na kumuogopa sana Gwajima!
Mbaya zaidi mlimkaribisha hadi chumbani kwenye chama chenu na yote anayajua
Yote yanawezekana kwake aaminiye bwashee!Nadhani akichaguliwa watu wa Kawe watakuwa hakuna kilio maana MTU akifa Gwajima anamfufua kama wale misukule na yule binti wa sekondari.
Na kwa sasa hata kiongozi wa CCM aki rest in peace tunamuita MFUFUAJI wa chama kuja kumfufua.
Na Atagombea uraisi 2025.Ni jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha wananchi wa Kawe.
Dr Gwajima ana weledi mkubwa katika uongozi wa watu kiroho na kimwili na ubobezi wake ameupatia nchini Korea.
Ni mtu mwenye malengo makubwa na naweza kumfananisha na Rais wa sasa wa Malawi.
Askofu Gwajima karibu ulete ukombozi Kawe.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu JUAN MANUEL asante sana kuileta hii hapa.Acha upimbi,huyu ni tapeli tu Kama wengine,Hana Cha utakatifu wowote,Kama angekuwa na Mungu,asingeongea hivi harafu Leo anafanya tofauti.View attachment 1543621
Msikilize alichokiongea hapa kwenye kipande cha video/sauti,shida wengi wenu mmekariri siasa ni kusema uwongo na lolote atakalosema mtu hamaanishi alimradi ametoka kwenye chama chako.Nilichogundua chadema mnahofia na kumuogopa sana Gwajima!
Mbaya zaidi mlimkaribisha hadi chumbani kwenye chama chenu na yote anayajua
Acha upimbi,huyu ni tapeli tu Kama wengine,Hana Cha utakatifu wowote,Kama angekuwa na Mungu,asingeongea hivi harafu Leo anafanya tofauti.View attachment 1543621
Sijawai kum support Gwajima hata siku moja. Nifuatilie humu post zangu tangu nimejiunga JF kama nimewai kumuunga mkono huyu tapeli!Alipokuwa anamshambulia Makonda mlikuwa mnaenda hadi kujazana kanisani kwake kwa kujiita mnaenda kulipuliwa bomu na kupewa ubuyu na kumuita yule ndio askofu sasa!
Alipomtukana Pengo mkamuita yule ndio mtumishi wa kweli wa Mungu.
Alipikuwa mshenga wa kumleta Lowasa chadema na kusababisha waliokipigania chama kama kina Slaa na wengineo kuindoka mkamuita majina yote mazuri mazuri.
Leo hii mmemugeuka kisa kahamia upande wa pili? Aliyewapoka akili zenu ana dhambi sana.
Acheni demcrasi itawale, muacheni Mdee apambane si anapendwa sana Kawe? Hofu kwa Gwajima inatoka wapi?
Sawa sawa!Na Atagombea uraisi 2025.
Halima hata yeye mwenyewe moyoni mwake kama yuko mkweli wa nafsi yake anajua kabisa kuwa ameshachoka kutumikia wananchi wa jimbo la Kawe!
Huo ndiyo ukweli kabisa !
Halima Mdee kuna maswala muhimu kabisa ya msingi yamemshinda Jimboni ikiwemo migogoro ya ardhi Halima hii imemshinda kabisa, Gwajima atafuatilia na kuleta ufumbuzi ili haki itendeke!
Ukweli CCM sijawaelewa hata kidogo kule Kawe. CCM sasa inataka kutuaminisha kuwa kumbe ilimtuma Gwajima aunde vikundi vya Kisukuma ili kumsapoti Mheshimiwa. Gwajima hana sifa ya kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri kwa tabia za kijamii, mahusiano yake na jamii, achilia mbali ubaguzi wa kikabila na kidini alionao. CCM tutapiga kura za chuki dhidi yenu Wallah mmetuletea huyu Shetani huku KaweNi jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha wananchi wa Kawe.
Dr Gwajima ana weledi mkubwa katika uongozi wa watu kiroho na kimwili na ubobezi wake ameupatia nchini Korea.
Ni mtu mwenye malengo makubwa na naweza kumfananisha na Rais wa sasa wa Malawi.
Askofu Gwajima karibu ulete ukombozi Kawe.
Maendeleo hayana vyama!
Aiseee ccm mmekosa watu ? Eti askofu uchwara mjasiria dini mchumia tumbo opportunist chawi ana weledi wa uongozi wa kimwili na kiroho ? Kabisa aisee hasa kucheza sinema za ngono ana weledi wa kutosha , Denzil Washngton wa kawe.Ni jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha Wananchi wa Kawe.
Dr Gwajima ana weledi mkubwa katika uongozi wa watu kiroho na kimwili na ubobezi wake ameupatia nchini Korea. Ni mtu mwenye malengo makubwa na naweza kumfananisha na Rais wa sasa wa Malawi.
Askofu Gwajima karibu ulete ukombozi Kawe.
Maendeleo hayana vyama!