SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,963
- 75,029
Huna akili ya kumuelewa ndiyo maana, unachojua ni kumsifia yule muuaji wa Kizimkazi tu.GWAJIMA amechanganyikiwa
Huna akili ya kumuelewa ndiyo maana, unachojua ni kumsifia yule muuaji wa Kizimkazi tu.GWAJIMA amechanganyikiwa
Moyo wa Gwajima upo Chadema hata kama kwa kutokupenda. Ni suala la muda tu.Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo apishwa kuna watu wanaendelea kukupinga mpaka utakapo maliza Miaka yako Mitano, maendeleo utayaletaje?"
"Nashauri kwamba CCM ina Wanachama zaidi ya Milioni 10, tuamue kuwaruhusu CHADEMA kuwapa reforms zinazowezekana kwa sasa, tungie nao kwenye Uchaguzi"
Soma > Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke
Kwa nini mkuu?GWAJIMA amechanganyikiwa
Kwahiyo CCM huwa wanakura feki?Mbunge aliyetokana na kura fake
HakikaKufanya reforms ni kucomitt suicide kwa watawala wa chama kilichopo madarakani sasa,nani akubali kirahisirahisi?
Ndugu Mteja, kutakua na maboresho ya huduma za Mixx by Yas leo usiku saa 6:00 - 10:00 Alfajiri. Tafadhali fanya miamala yako kabla na baada ya muda huoMbona angeandika tu akatuma sijaona chochote cha maana alichotuitia
Nitakulamba tusiNdugu Mteja, kutakua na maboresho ya huduma za Mixx by Yas leo usiku saa 6:00 - 10:00 Alfajiri. Tafadhali fanya miamala yako kabla na baada ya muda huo
cowardnessThe final level of being smart is just pretending you don’t know anything to make your life easier.
Ila dada angu unapenda sn kunifuata fuatawe malaya kila sehemu upo kibaya zaidi unaandika ushubwada
Sasa sister ndiyo umepanic?pumbavu ww kapiga no reforms no election mule ya kitaalam
Kuna tusi jipya umebuni ambalo halijawahi kuwepo duniani ?Nitakulamba tusi
Ohooo endelea kuchezea moto nitakushughulikia chapKuna tusi jipya umebuni ambalo halijawahi kuwepo duniani ?
Kama hakuna kaa kwa kutulia upelekewe 🔥
Yaani huyu na Polepole hawana legacy ya kuongea haya kabisa.Mbona walishinda uchaguzi mwaka 2020 wakiwa wao tu CCM na Gwajima akiwa mbunge, haya mbona hakuongea? Ila kuna watu humu wanamuona shujaa ndio maaana waliamini kabisa lowasa analeta mabadiliko, ujinga mtupu
Hayo makovu alileta yeyeAskofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo apishwa kuna watu wanaendelea kukupinga mpaka utakapo maliza Miaka yako Mitano, maendeleo utayaletaje?"
"Nashauri kwamba CCM ina Wanachama zaidi ya Milioni 10, tuamue kuwaruhusu CHADEMA kuwapa reforms zinazowezekana kwa sasa, tungie nao kwenye Uchaguzi kama kushinda mtu ashinde kwa Haki na Kama kushindwa basi mtu ashindwe kwa Haki"
Soma > Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke
Ila LissuYaani huyu na Polepole hawana legacy ya kuongea haya kabisa.