Hii habari bila picha hainogiKwa sababu hajampongeza Mwamba kwa kuhamia rasmi Chaumma? š
Kuzuia mikutano ya hadhara wakati Magu ilikuwa sahihi kwako.Askofu mnafiki weweAskofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo apishwa kuna watu wanaendelea kukupinga mpaka utakapo maliza Miaka yako Mitano, maendeleo utayaletaje?"
"Nashauri kwamba CCM ina Wanachama zaidi ya Milioni 10, tuamue kuwaruhusu CHADEMA kuwapa reforms zinazowezekana kwa sasa, tungie nao kwenye Uchaguzi"
View attachment 3407981
Mbunge aliyetokana na kura fakeAkiongea na watanzania, Mbunge wa jimbo la Kawe, Josephati Gwajima amesema sio vyema kushinda bila kuwa na mshindani. Hivyo yeye kama mwanachama wa CCM ameshauri CCM ifanye mabadiliko kidogo kisha wawaruhusu CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi.
Amesema kutokana na wingi wa wanachama wa CCM, suala litakuwa jema kwa kuwa CCM ina wanachama wengi. Askofu Gwajima amesisitiza zifanywe reforms chache zitakazowaruhusu chadema kuingia kwenye uchaguzi kisha waje wawashinde kwenye uchaguzi.
Amesema ushindi inabidi uangalia nchi itakuwaje baada ya uchaguzi. Maana ni vigumu kupigwa kjabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi ambapo italeta ugumu kwenye kuleta maendeleo baada ya uchaguzi.
Suala la No Reforms No Election ni suala la CHADEMA ambao wametishia kutoshiriki uchaguzi ikiwa hakutakuwa na mabadiliko. Askofu Gwajima amesema sio jambo jema kuwa na mgawanyiko baada ya uchaguzi badala yake kuwe na umoja utakao patikana kupitia reforms za kawaida.
Ameongea akiwa na msisitizo wa "Kuwachapa" kwa maana ya kuwashinda wapinzani baada ya kuwapa reforms watakazozihitaji.
pumbavu ww kapiga no reforms no election mule ya kitaalamMbona angeandika tu akatuma sijaona chochote cha maana alichotuitia
amesema kweli.Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo apishwa kuna watu wanaendelea kukupinga mpaka utakapo maliza Miaka yako Mitano, maendeleo utayaletaje?"
"Nashauri kwamba CCM ina Wanachama zaidi ya Milioni 10, tuamue kuwaruhusu CHADEMA kuwapa reforms zinazowezekana kwa sasa, tungie nao kwenye Uchaguzi"
Soma > Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke
Maaskofu wa majimbo yote watatekwa.Kanisa Katoliki litow waraka bila reforms hakuna uchaguzi
we malaya kila sehemu upo kibaya zaidi unaandika ushubwadaMbona angeandika tu akatuma sijaona chochote cha maana alichotuitia
Mwamba amezeeka ghafra isee usigombane na system hata siku moja.Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo apishwa kuna watu wanaendelea kukupinga mpaka utakapo maliza Miaka yako Mitano, maendeleo utayaletaje?"
"Nashauri kwamba CCM ina Wanachama zaidi ya Milioni 10, tuamue kuwaruhusu CHADEMA kuwapa reforms zinazowezekana kwa sasa, tungie nao kwenye Uchaguzi"
Soma > Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke
nonsense,Askofu Gwajima amesema, "Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi lakini kuitawala Nchi na kuiletea Maendeleo iliyomeguka meguka kutokana na Makovu na Majeraha ya Kiuchaguzi ni kazi ngumu sana, sisi kama CCM tunaweza kuamua kuendelea [na Uchaguzi] na tukashinda lakini jaribu kuwaza tangu siku unapo apishwa kuna watu wanaendelea kukupinga mpaka utakapo maliza Miaka yako Mitano, maendeleo utayaletaje?"
"Nashauri kwamba CCM ina Wanachama zaidi ya Milioni 10, tuamue kuwaruhusu CHADEMA kuwapa reforms zinazowezekana kwa sasa, tungie nao kwenye Uchaguzi"
Soma > Askofu Gwajima: Mimi Sihami CCM, tunabanana humu humu mpaka paeleweke
Hii "movement" dhidi ya MAMA naona ipo calculated kinoma!Anataka kuwaingiza Chama Tawala cha kike...
GWAJIMA amechanganyikiwaMagufuli alivuta wengi akawapa vyeo ambao mioyo yao haikuwahi kuipenda CCM na itaendelea hivyo
Mabaya machache ya Magufuli, yanashinda mazuri yaliyo katika uongozi uliopo sasa!
Maana yake, mazuri ya leo ni sawa na mabaya machache yaliyowahi kufanywa na awamu iliyopita
Lucas Mwashambwa unasemaje hapo?