Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

😂

Netanyahu alistaafu akarudi

Putin alistaafu akarudi

Prof Lipumba alistaafu akarudi
Putin alirudi kwa nini? Katiba ya Russia unaijua? Netanyahu alirudi kwa nini? Katiba ya Israel unaijua? Hawa wa kwetu yaliwashinda enzi zao wanajifanya kushauri nini ? Tena wanajipeleka wenyewe kwa waliopo! Si usubiri uitwe kama wanahitaji ushauri wako? Walifisidi enzi zao, Bado wanatamaa ya kuendelea kufisidi. Mhuni ni mhuni tu.
 
Unajuaje kama haalikwi?
 
Back
Top Bottom