Wakati shetani alipowarubuni Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa na Mungu pale bustanini na baadae Mungu akaja na kumwuliza shetani kwa nini aliwarubuni kulikuwa na umbali gani kati yao?Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo....
Yeye na Mungu ni vitu viwili tofauti haamini Mungu kabisa KKKT niwaulize huyu mpagani Bagonza alipenyaje kuwa Askofu?....
Yeye hakupewa uaskofu awe kipaza Sauti cha sauti ya wanadamu bali ya Mungu ya tubuni na kuamini injili sio tubuni na kuiamini demokrasia na chadema na katiba mpya au tume huru na uchaguzi huru!Kwa taarifa yako ni kuwa Maaskofu wengine wameamua kukaa kimya kwa sababu ya hofu, lakini wanajua fika huyo Askofu anaoongea ukweli mchungu. Hivyo kama ni kumtoa labda watii hisia za jiwe kisha wamfanyie figisu, ila hawana popote wanaweza kumchukulia hatua maana anaongea ukweli.
Corona ipo ila tumshukuru Mungu wengi tumeweza kuishi nayo kwa miili kujenga kinga. Baadhi wanasayansi wanapendekeza kutovaa musk ili kubadilishana virus na bacteria kujenga kinga imara zaidi.
Kumbuka yeye si msemaji wa serikali.Bagonza anachomaanisha Corona bado ipo Tanzania, nakubaliana nae; ila yeye katumia njia ndefu kufikisha ujumbe wake.
Huyu naye anang'ang'ania corona siku zote sijui ana nia gani!! Sijasikia akitoa kauri ya watu waliouawa kwenye maandamano huko Marekani au hajasikia hayo maandamano ila ameona corona tu!!Bagonza anachomaanisha Corona bado ipo Tanzania, nakubaliana nae; ila yeye katumia njia ndefu kufikisha ujumbe wake.
Huyu jamaa thinking capacity yake ni ndogo sana anafikiri corona inaweza kuisha kabisa! Corona tutaishi nayo kama mafua tunavyoishi nayo.Bagonza kama Bagonza
Yeye hakupewa uaskofu awe kipaza Sauti cha sauti ya wanadamu bali ya Mungu ya tubuni na kuamini injili sio tubuni na kuiamini demokrasia na chadema na katiba mpya au tume huru na uchaguzi huru!!
Huyu Askofu Bagonza ni mpagani
Yupo sahihi mwenyewe kasema wanaruhusiwa kuongelea Corona ni wanne tuu.Bagonza anachomaanisha Corona bado ipo Tanzania, nakubaliana nae; ila yeye katumia njia ndefu kufikisha ujumbe wake.
Duh!Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo
Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu
Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Nashangaa askofu ambaye hawahimizi waumini wake kuomba rozali mara kadhaa Mungu atuponye na Corona. Waumini ni wengi sana anaowaongoza kama angewasisitiza kuomba rozali kama anavyowambiaga wenye dhambi ili wasamehewe maovu yao basi Corona ingekimbia.sasa Jamaa amebakia na porojo tu hamna la maana analoliongea.
Kilele Cha mapinduzi Zanzibar Rais atahutumia taifa lake kupitia vyombo vya habari,
Idadi ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua imeongezeka ndani ya muda mfupi. Yawezekana ni uchovu wa mwisho wa mwaka!
MTU ANAYEINGIZA MSSIKHARA KWENYE MAMBO YA VIFO ANATENDA KOSA. KAMA NI KIONGOZI ANATENDA KOSA KUBWA ZAIDI. THIS REMOVES WHATEVER LITTLE FAITH I HAD IN THE SANITY IF THIS PERSON. NI ASK9FU KWELI?
Mungu anaishi ndani ya Roho za wamchao .Mungu yupo pote kasoro sehemu mbili tu moja ni jehanamu kule hayuko na ndani ya roho ya mtu mwenye dhambi kama Bagonza nk humo hayumo
Kwa maneno yakeUnamtambuaje mtu huyo ama wewe ndio mtoa hukumu.