3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,885
NEC inawapa viburi wazee wa FIESTA wezi wa kuraKura yako HAITAIBIWA na Rais Magufuli ataibuka mshindi!

Soma vizuri ulichoandika.Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.
Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
100% trueTofauti za dini zilishindwa kutugawa. Serikali haina dini na hakuna anayelazimishwa kuwa na dini. Tofauti za makabila zilishindwa kuligawa Taifa. Makabila madogo yana fursa sawa kama makabila makubwa. Faida ya makabila ni kutambika na kufanya fujo katika misiba ya watani.
Tofauti ya rangi ya ngozi ya mwili haikuligawa Taifa. Baada wa kupata uhuru, baadhi ya waliokuwa wanaitwa wakoloni waliteuliwa kuwa mawaziri. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tofauti za vipato hazikuligawa Taifa. Tajiri na maskini wanaweza kunyea ndoo moja huko mahabusu. Utajiri ni wa mtu lakini umaskini ni wa Taifa. Aliyewapa hawa ndiye kawanyima wale.
Tofauti za kiitikadi zinaligawa na kulisambaratisha Taifa letu. Kwanini?
1. Tofauti za kiitikadi zaweza kukutia hatiani au kukuweka huru.
2. Tofauti za kiitikadi zaweza kukupa au kukunyima maji ya bomba, barabara, HOSPITALI na
Shule.
3. Tofauti za kiitikadi zaweza kumpa uongozi kichaa na kumnyima Profesa kazi hiyo. Chama kinakuwa bora kuliko mtu. Hatuko salama.
4. Chama kinakuwa na nguvu kuliko Muumba. Mmoja amependekeza akishinda atabadili jina la nchi liwe la chama chake! Mitume hawasikilizwi lakini makada wanashangiliwa. Ukame ukija tusitafutane.
Viongozi wa dini ombeeni na kugawa baraka kwa rangi zote. Wanyambo walisema "Lisha mbwa wote washibe kwa usawa na bila upendeleo maana hujui ni yupi atakayewinda vizuri na kupata mawindo". Na watani wangu wa Tarime husema, "Asiyetembelea kwa mtemi huwa ananungunika eti mtemi ni bahili".
Baba Askofu Bagonza.
Takataka wewe.....Kuwa neutral kuna faida zake...Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Unafurahia upenyo wa kidole kumatako.Ahahahahahahah! Ila mimi sio Lissu ujue!!! Ahahahahahahaj!
Achana naye huyu mkuu.Huyu ni moja ya watu ambao wameamua kupoteza utu wao kisa njaa kama jina lake. Tena njaa yake inakula ubongo sasa na uzuri ccm wanamchora na unafiki wake.Wewe hata kujitambua hujitambui. Njaa mbaya sana! Angalia ulivyopoteza utu wako na kudharaulika kila kona Nchini.
Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer!
Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.
Siku hizi tunawapima AKILI wanaokusapoti. Kiwango chako cha Elimu, uzoefu wako na taaluma yako vimekosa msaada kwa jamii yako. Si kweli kwamba umezeeka, ila kuendekeza njaa ndiko kunakokutoa ufahamu kiasi hiki. Hao unaowasema vibaraka tuambie ni vibaraka wa nani na unaongea kwa reference ipi?Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Hakuna aliyebaguliwa kwa Kiingereza kama kiwango chake cha Elimu hakifikii uwezo wa kiingereza maana ni lugha ya kujifunzia. Watu wanachohoji ni kwa vipi mtu mwenye Elimu ya digrii 3 anashindwa kutumia lugha aliyojibia mitihani yake kwa zaidi ya miaka 10 ya Elimu ya juu ukianzia sekondari?Chadema pia mnabagua na kuwadhatau wasiojua kiingereza
Mimi nilishaahidi kujitoa JF endapo ataanionesha hata hoja moja yenye maana kwa miaka 3 iliyopita.siku ukiongea point nipigwe life ban
Hoyee!!Mungu Oyee
Kweli Baba Askofu. Hakuna haki, hakuna amani. Na anayetugawa hawezi kutuunganisha.Tofauti za dini zilishindwa kutugawa. Serikali haina dini na hakuna anayelazimishwa kuwa na dini. Tofauti za makabila zilishindwa kuligawa Taifa. Makabila madogo yana fursa sawa kama makabila makubwa. Faida ya makabila ni kutambika na kufanya fujo katika misiba ya watani.
Tofauti ya rangi ya ngozi ya mwili haikuligawa Taifa. Baada wa kupata uhuru, baadhi ya waliokuwa wanaitwa wakoloni waliteuliwa kuwa mawaziri. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tofauti za vipato hazikuligawa Taifa. Tajiri na maskini wanaweza kunyea ndoo moja huko mahabusu. Utajiri ni wa mtu lakini umaskini ni wa Taifa. Aliyewapa hawa ndiye kawanyima wale.
Tofauti za kiitikadi zinaligawa na kulisambaratisha Taifa letu. Kwanini?
1. Tofauti za kiitikadi zaweza kukutia hatiani au kukuweka huru.
2. Tofauti za kiitikadi zaweza kukupa au kukunyima maji ya bomba, barabara, HOSPITALI na
Shule.
3. Tofauti za kiitikadi zaweza kumpa uongozi kichaa na kumnyima Profesa kazi hiyo. Chama kinakuwa bora kuliko mtu. Hatuko salama.
4. Chama kinakuwa na nguvu kuliko Muumba. Mmoja amependekeza akishinda atabadili jina la nchi liwe la chama chake! Mitume hawasikilizwi lakini makada wanashangiliwa. Ukame ukija tusitafutane.
Viongozi wa dini ombeeni na kugawa baraka kwa rangi zote. Wanyambo walisema "Lisha mbwa wote washibe kwa usawa na bila upendeleo maana hujui ni yupi atakayewinda vizuri na kupata mawindo". Na watani wangu wa Tarime husema, "Asiyetembelea kwa mtemi huwa ananungunika eti mtemi ni bahili".
Baba Askofu Bagonza.
Nje ya mada.Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.
Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
Huyo Ben Saanane una uhakika alifariki? Ukibanwa utoe udhibitisho unao?Mashaka haya yanawafanya watu waanze kukumbuka hoja ya BEN SAANANE (RIP)
Naona unazidi kuwehuka zaidi hongera sana[emoji1]Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Pascal naanza kukudharau. Unaona bango hili.ushahidi huu hapa
View attachment 1596437
Mkuu BAK huyu Ni njaa tu ina mdrive awe hivyo .Wewe hata kujitambua hujitambui. Njaa mbaya sana! Angalia ulivyopoteza utu wako na kudharaulika kila kona Nchini.
Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer!
Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.
Hahah hio ndio. Definition halisi ya Mayalla kwetu ni njaa.Wewe hata kujitambua hujitambui. Njaa mbaya sana! Angalia ulivyopoteza utu wako na kudharaulika kila kona Nchini.
Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer!
Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.
Hata wewe umeshindwa kujikita kwenye hoja zilizotolewa na baba Askofu.Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Serikali ya China imekijengea CCM Chuo cha Uongozi na Itikadi.Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P