Askofu Bagonza: Anayetugawa hawezi kutuunganisha

Askofu Bagonza: Anayetugawa hawezi kutuunganisha

Asante sana Askofu Bagonza akili kubwa
Tofauti za dini zilishindwa kutugawa. Serikali haina dini na hakuna anayelazimishwa kuwa na dini. Tofauti za makabila zilishindwa kuligawa Taifa. Makabila madogo yana fursa sawa kama makabila makubwa. Faida ya makabila ni kutambika na kufanya fujo katika misiba ya watani.

Tofauti ya rangi ya ngozi ya mwili haikuligawa Taifa. Baada wa kupata uhuru, baadhi ya waliokuwa wanaitwa wakoloni waliteuliwa kuwa mawaziri. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tofauti za vipato hazikuligawa Taifa. Tajiri na maskini wanaweza kunyea ndoo moja huko mahabusu. Utajiri ni wa mtu lakini umaskini ni wa Taifa. Aliyewapa hawa ndiye kawanyima wale.

Tofauti za kiitikadi zinaligawa na kulisambaratisha Taifa letu. Kwanini?

1. Tofauti za kiitikadi zaweza kukutia hatiani au kukuweka huru.

2. Tofauti za kiitikadi zaweza kukupa au kukunyima maji ya bomba, barabara, HOSPITALI na
Shule.

3. Tofauti za kiitikadi zaweza kumpa uongozi kichaa na kumnyima Profesa kazi hiyo. Chama kinakuwa bora kuliko mtu. Hatuko salama.

4. Chama kinakuwa na nguvu kuliko Muumba. Mmoja amependekeza akishinda atabadili jina la nchi liwe la chama chake! Mitume hawasikilizwi lakini makada wanashangiliwa. Ukame ukija tusitafutane.

Viongozi wa dini ombeeni na kugawa baraka kwa rangi zote. Wanyambo walisema "Lisha mbwa wote washibe kwa usawa na bila upendeleo maana hujui ni yupi atakayewinda vizuri na kupata mawindo". Na watani wangu wa Tarime husema, "Asiyetembelea kwa mtemi huwa ananungunika eti mtemi ni bahili".

Baba Askofu Bagonza.
 
Nina uelewa mkubwa sana kuliko Lissu. Lissu angekuwa na uelewa, asingefikiria hata kuamini kuwa anaweza kuwa Mgombea wa Urais wa Tanzania tena eti kwa kushindana na Mgombea wa CCM Rais John Pombe Joseph Magufuli!
Niliposema mwanzo juu ya uelewa wako mdogo, nilifikiri labda nakosea !!. Lakini kwa jibu hili ulilolitoa wewe ni zaidi ya utopolo .

Yaani huamini ktk Maghufuli huyu kupingwa kwenye uchaguzi ?!. Huyu au mwingine !!. Hata kama wewe wamuona the best. Wengine wanamuona hawezi kuwa candidate mzuri hasa ma democrat.
 
Wanawake weusiii chini ya magu hawana chaoooo, sijawahi ona rais mbaguzi kiasi hicho
 
Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.

Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo
Hayoooo,, mapunguani na mwenyekiti wenu mmeishiwa hoja! Mwaka huu mpaka tuwanyooshe! Hatuwezi tena kupeleka Ikulu taahira! Tuna akili zetu!
 
Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.
Ujinga
Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
Huu ujinga wa wamachinga,bodaboda,bajaji kuzagaa barabara zote unaukuta kwa huyu incompetent.magufuli,huko nyuma tuliwahi kuondoa Hiace kwenye barabara kuu
 
Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.

Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wazazi wana hasara sana, ungekuwa mwanangu ningekuozesha bure kabisa au kumlipa mwanaume ambaye angetaka kukuoa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake weusiii chini ya magu hawana chaoooo, sijawahi ona rais mbaguzi kiasi hicho
Wala sio ubaguzi tu mkuu, sijwahi ona kiongozi mwenye taahira kiasi hiki. FLOTURT amedhalilishwa mara nyingi sana kutokana na hiyo ngozi yake! Mara VP mweupe kuingia ofisini mnamaliza stress, mara mbunge mweupe nitamhudumia upesi kuliko mweusi, ujinga mtupu!
 
Back
Top Bottom