Magufuli ameshashindwa kabla ya uchaguziKura yako HAITAIBIWA na Rais Magufuli ataibuka mshindi!
Magufuli ameshashindwa kabla ya uchaguziKura yako HAITAIBIWA na Rais Magufuli ataibuka mshindi!
Mzee umemchana live.Nijuavyo mimi na wewe pia ni muhanga wa hilo ndio mana ilifikia mahali MSOLOPA wakakuvunjia ofisi kutokana na deni sugu la kodi baada ya mambo kuyumba kuanzia mwaka 2016
Ila unajikaza kisabuni kumlamba miguu Farao ili upate uteuzi angalau ujuweke sawa umeshaa sana bro!
Ukame ukija tusitfutane.ANAYETUGAWA HAWEZI KUTUUNGANISHA
Tofauti za dini zilishindwa kutugawa. Serikali haina dini na hakuna anayelazimishwa kuwa na dini.
Tofauti za makabila zilishindwa kuligawa Taifa. Makabila madogo yana fursa sawa kama makabila makubwa. Faida ya makabila ni kutambika na kufanya fujo katika misiba ya watani.
Tofauti ya rangi ya ngozi ya mwili haikuligawa Taifa. Baada wa kupata uhuru, baadhi ya waliokuwa wanaitwa wakoloni waliteuliwa kuwa mawaziri. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
Tofauti za vipato hazikuligawa Taifa. Tajiri na maskini wanaweza kunyea ndoo moja huko mahabusu. Utajiri ni wa mtu lakini umaskini ni wa Taifa. Aliyewapa hawa ndiye kawanyima wale.
Tofauti za kiitikadi zinaligawa na kulisambaratisha taifa letu. Kwa nini?
1. Tofauti za kiitikadi zaweza kukutia hatiani au kukuweka huru.
2. Tofauti za kiitikadi zaweza kukupa au kukunyima maji ya bomba, barabara, HOSPITALI na
Shule.
3. Tofauti za kiitikadi zaweza kumpa uongozi kichaa na kumnyima Profesa kazi hiyo. Chama kinakuwa bora kuliko mtu. Hatuko salama.
4. Chama kinakuwa na nguvu kuliko Muumba. Mmoja amependekeza akishinda atabadili jina la nchi liwe la chama chake! Mitume hawasikilizwi lakini makada wanashangiliwa. Ukame ukija tusitafutane.
Viongozi wa dini ombeeni na kugawa baraka kwa rangi zote. Wanyambo walisema "Lisha mbwa wote washibe kwa usawa na bila upendeleo maana hujui ni yupi atakayewinda vizuri na kupata mawindo". Na watani wangu wa Tarime husema, "Asiyetembelea kwa mtemi huwa ananungunika eti mtemi ni bahili".
Phd inatendewa haki.Long live Bishop.Tofauti za dini zilishindwa kutugawa. Serikali haina dini na hakuna anayelazimishwa kuwa na dini. Tofauti za makabila zilishindwa kuligawa Taifa. Makabila madogo yana fursa sawa kama makabila makubwa. Faida ya makabila ni kutambika na kufanya fujo katika misiba ya watani.
Tofauti ya rangi ya ngozi ya mwili haikuligawa Taifa. Baada wa kupata uhuru, baadhi ya waliokuwa wanaitwa wakoloni waliteuliwa kuwa mawaziri. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tofauti za vipato hazikuligawa Taifa. Tajiri na maskini wanaweza kunyea ndoo moja huko mahabusu. Utajiri ni wa mtu lakini umaskini ni wa Taifa. Aliyewapa hawa ndiye kawanyima wale.
Tofauti za kiitikadi zinaligawa na kulisambaratisha Taifa letu. Kwanini?
1. Tofauti za kiitikadi zaweza kukutia hatiani au kukuweka huru.
2. Tofauti za kiitikadi zaweza kukupa au kukunyima maji ya bomba, barabara, HOSPITALI na
Shule.
3. Tofauti za kiitikadi zaweza kumpa uongozi kichaa na kumnyima Profesa kazi hiyo. Chama kinakuwa bora kuliko mtu. Hatuko salama.
4. Chama kinakuwa na nguvu kuliko Muumba. Mmoja amependekeza akishinda atabadili jina la nchi liwe la chama chake! Mitume hawasikilizwi lakini makada wanashangiliwa. Ukame ukija tusitafutane.
Viongozi wa dini ombeeni na kugawa baraka kwa rangi zote. Wanyambo walisema "Lisha mbwa wote washibe kwa usawa na bila upendeleo maana hujui ni yupi atakayewinda vizuri na kupata mawindo". Na watani wangu wa Tarime husema, "Asiyetembelea kwa mtemi huwa ananungunika eti mtemi ni bahili".
Baba Askofu Bagonza.
PascalWewe hata kujitambua hujitambui. Njaa mbaya sana! Angalia ulivyopoteza utu wako na kudharaulika kila kona Nchini.
Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer!
Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.
Bado kuonyesha nyeti zenu wananchi wajue jinsia,hamueleweki mnaongea niniLissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.
Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
Swalama mkuuMkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Ni Makaburu tu hata kama ni weusi. Unawabagua watu watu kwasababu hawajakupa kura ni kaburu tu.
Hauna uwezo wakufikiri tena ndugu njaa ni upuuzi mtupu...uhuru wa kufikiri sijambo jepesi kwenye mfumo kandamizi ni wachache wanaobaki na misimamo yao hata km matumbo yao yataguswa km ilivyo kwa Lissu na Mbowe,hawa kwangu ni majemedariMkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Tuombee Viongozi waliojitoa ufahamu kuishi kwa hofu ya MunguTofauti za dini zilishindwa kutugawa. Serikali haina dini na hakuna anayelazimishwa kuwa na dini. Tofauti za makabila zilishindwa kuligawa Taifa. Makabila madogo yana fursa sawa kama makabila makubwa. Faida ya makabila ni kutambika na kufanya fujo katika misiba ya watani.
Tofauti ya rangi ya ngozi ya mwili haikuligawa Taifa. Baada wa kupata uhuru, baadhi ya waliokuwa wanaitwa wakoloni waliteuliwa kuwa mawaziri. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tofauti za vipato hazikuligawa Taifa. Tajiri na maskini wanaweza kunyea ndoo moja huko mahabusu. Utajiri ni wa mtu lakini umaskini ni wa Taifa. Aliyewapa hawa ndiye kawanyima wale.
Tofauti za kiitikadi zinaligawa na kulisambaratisha Taifa letu. Kwanini?
1. Tofauti za kiitikadi zaweza kukutia hatiani au kukuweka huru.
2. Tofauti za kiitikadi zaweza kukupa au kukunyima maji ya bomba, barabara, HOSPITALI na
Shule.
3. Tofauti za kiitikadi zaweza kumpa uongozi kichaa na kumnyima Profesa kazi hiyo. Chama kinakuwa bora kuliko mtu. Hatuko salama.
4. Chama kinakuwa na nguvu kuliko Muumba. Mmoja amependekeza akishinda atabadili jina la nchi liwe la chama chake! Mitume hawasikilizwi lakini makada wanashangiliwa. Ukame ukija tusitafutane.
Viongozi wa dini ombeeni na kugawa baraka kwa rangi zote. Wanyambo walisema "Lisha mbwa wote washibe kwa usawa na bila upendeleo maana hujui ni yupi atakayewinda vizuri na kupata mawindo". Na watani wangu wa Tarime husema, "Asiyetembelea kwa mtemi huwa ananungunika eti mtemi ni bahili".
Baba Askofu Bagonza.
Mwaka 2010 na 2015 sikupiga kura kwa sababu ya majukumu Fulani...mwaka huu nitapiga kura...nitajumuika na mamilioni ya watanzania wenzangu kumpa kura JPM...Mkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P
Umemuelewa vizuri sasa mwalimu wako Chakubanga.Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.
Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
Unaugomvi na Tulia Axon?Amesahau baada ya kuwagawa kiitikadi kaanza na kuwagawa kwa rangi, sasa hivi ukiwa mwanamke mweusi wewe ni kunguru tu
Ningeshangaa kuto kuusoma UTOPOLO wako kwenye uzi huu!Chadema pia mnabagua na kuwadhatau wasiojua kiingereza
Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.
Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
Hebu soma tena ulichokiandika...Lissu hatajenga barabara, shule wala zahanati maana hayo ni maendeleo ya vitu.
Atakachokifanya ni kuwafukuza wamachinga barabarani maana hayo ndiyo maendeleo ya watu.
Pumbavu kweli mtu mzima hovyo hovyo Nani kibaraka kati yako na mchungaji ? Pumbavu kabisaMkuu AGITATOR , usiwajali vibaraka hawa, mwisho wao ni October 28, watalia sana!.
P