UFUNUO WA TANZANIA
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 471
- 166
Hekima ya Mwanadamu ni upumbavu mbele za Mungu. Na upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya Wanadamu.
Sifungamani na dhehebu lolote ila kitabu cha imani yangu ni Biblia Takatifu.
Naonya upumbavu wa baadhi ya wachangiaji kuwasema vibaya hao ambao wanatambulika kama watumishi wa Mungu katika jamii za waaminio. Mwenye akili timamu kiroho angejikita katika kushambulia hoja na si mtu. Kumbuka Nuhu kuhusu safina; lakini pia mtumishi wa Mungu akikosea Mungu wake ndiye atakayemhukumu kumbuka habari ya Musa alipochukua yule mwanamke.
Lakini pia kibinadamu Rwanda ni ndogo na tunaona haiwezi kutupiga lakini angalia nguvu ya Israel Ingawa ni Ndogo lakini ni kubwa sana
Lakini mimi siungi mkono upande wowote lakini naonya wachangiaje kuwa makini katika kachangia baadhi ya maada.