Shelute Mamu
Member
- Mar 17, 2009
- 37
- 1
kuoi hapo nimekwambia kwa wale walio oa.. hawakuwarudia wake zao.. kuna sehemu bibblia inaonesha petro alimrudia mke wake... wewe kanisa lako chimbuko lake ni wapi???
Amen wakati wa Yesu, alikuwepo Yuda pia, na Petro alimkana japo kwa masaa lakini alimweka kuwa kiongozi mkuu, Mungu wetu ni mwema na mwenye rehema ukikosa unatubu anasamehe, jaribu kuwaaambia hao wanaokosa pengine wamejisahau kama Petro, jogoo akiwika watakumbuka na kujuta sana....bado tupo safarini, karibu kundini usiogope!
Natamani kuwa Askofu.....!
mbinguni!!!!!
Natamani kuwa Askofu.....!
hata mm lakwangu linatoka mbinguni.. Katoliki
Kuna rafiki mmoja nimekutana nae amesema anaanzisha kanisa lake. Dah nilivyo kumbuka hii ya Hammer nikamwambia usinitose tupo pamoja kusaidiana kuchunga kondoo.
sasa wewe utanunua nini??? wenzio tayari wameshanunua hammer
wewe jamaa unaongea upuuzi mtupu, na umetumwa na shetani.angalia, watumishi wengine hao ukiwagusa, unakuwa unagusa mboni ya jicho la Mungu, unaweza ukajikuta unalaaniwa milele, imeandikwa "washindanao na Bwana watapondwa kabisa, Mungu akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu", hivyo ukianza kushindana na mtu wa Mungu, unashindana na Mungu mwenyewe na utapondwa kabisa hakika.wajinga ndio waliwao......wanaojiita wachungaji wote wezi na matapeli tu.
mimi naombeni kitengo cha kufundisha dini shule za sekondari(zanaki na jangwani)
wewe jamaa unaongea upuuzi mtupu, na umetumwa na shetani.angalia, watumishi wengine hao ukiwagusa, unakuwa unagusa mboni ya jicho la Mungu, unaweza ukajikuta unalaaniwa milele, imeandikwa "washindanao na Bwana watapondwa kabisa, Mungu akiwa upande wetu hakuna aliye juu yetu", hivyo ukianza kushindana na mtu wa Mungu, unashindana na Mungu mwenyewe na utapondwa kabisa hakika.
kama wana magari mazuri, waache, unajuaje kama Mungu ndo amewaambia wafanye hivo, ulitaka wavae kandambili zilizotoboka kama mashehe wenu? Mungu anasema mtenda kazi astahili posho lake, akifanyia kanisani, kuna share imewekwa kabisa itakayoenda moja kwa moja kwenye account yako. kama umekuwa na waumini wengi, ina maana share itakuwa kubwa, na unaweza kuitumia vyovyote upendavyo, kuhusu waumini, hakuna hata anayelalamika, huyo anayelalamika ni mnafiki mtumishi wa shetani na hajaokokoka na mwisho wake u karibu. WACHUNGAJI WENGINE wanapewa tu magari hayo. kuna mmoja ana makanisa Japan, yule wa Ubungo, gari alipewa na wajapani, makanisa ya kule yalimnunulia, kama ndo mnamsema yeye, kwasababu yeye ndo mwenye hio gari. ILE GARI ALIPEWA JAPAN, ana branch ya makanisa Korea, Japan na china, na anazungu dunia nzima kama beny hinn, watu wanaopona wanawapa magari na chochote anachotaka. fumba mdomo wako.
Kumbuka Yesu alikuwa na Kanzu moja tu!

hehehehe!Hivi huyu mtumishi wa Mungu akiuza Hammer na kununua Starlet awe anatembelea atapungukiwa na nn? Na hizo pesa azipeleke Kilosa kwenye mafuriko.
hivi huyu mtumishi wa mungu akiuza hammer na kununua starlet awe anatembelea atapungukiwa na nn? Na hizo pesa azipeleke kilosa kwenye mafuriko.
mpaka uwe na bati, fikiria hata banda la makuti tu!!!! Hujasikia?mi nimemwambia nitachangia mabati kwanza ili jengo la kanisa lisimame kisha tuanze kuvuna kondoo.