Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Kiby, Hivi kumtetea askofu kuna kosa gani? maana si wote kwamba tutakuwa na mawazo yaliyo sawa. Najua leo kuna wengine wanaona iwe hivi na wengine tunaona tuwe hivi.Sitaki kujiingiza katika mtego wa mtu aliye amua kumtetea Askofu kuliko kuitetea kweli ya Yesu. Hata nikikupa ushahidi utaukubali?? Kuna jirani yangu mchaga wa rombo ameniomba nauli ya kuhudhuria massomo ya katikati ya wiki hapo ufufuo na nimemsaidia kama mara nne. Yeye anatokea magomeni kagera. Sasa wewe hukumu mwenyewe kuomba nauli kuhudhuria mafundisho ya bilionea wapi na wapi.
Kiby, Hivi kumtetea askofu kuna kosa gani? maana si wote kwamba tutakuwa na mawazo yaliyo sawa. Najua leo kuna wengine wanaona iwe hivi na wengine tunaona tuwe hivi.
Namshangaa sana huyo anayekuomba nauli wewe kwenda kule kanisani maana maandiko yanatuzuia. Hata hivyo kuna kosa gani mtu kuomba msaada kwa jamii yake?
Leo hii wewe unatanua kwenye internet lakini kuna watu wanatamani hawawezi, sijui umewasaidia nini. Wengine wanatumia hata net za maofisini bure wakati kuna watu wanatamani hawawezi.
Jaribu kuelewa kuwa hapa duniani haitakuja kuwezekana watu wote tukawa sawa. Tunaishi mtaa mmoja na wote tunalipa same tax to the government lakini uwezo wetu na hata huduma kwetu huko huko mitaani inatofautiana. Hatuwezi kuwa sawa hata siku moja watu wote. Bado wahitaji wataendelea kuwapo na wenye uwezo wataendelea kuwepo. Na wote tunaishi mtaa mmoja huo huo.
Sijui kama umeelewa nini hasa point yangu.
kiby, hivi kumtetea askofu kuna kosa gani? Maana si wote kwamba tutakuwa na mawazo yaliyo sawa. Najua leo kuna wengine wanaona iwe hivi na wengine tunaona tuwe hivi.
namshangaa sana huyo anayekuomba nauli wewe kwenda kule kanisani maana maandiko yanatuzuia. Hata hivyo kuna kosa gani mtu kuomba msaada kwa jamii yake?
leo hii wewe unatanua kwenye internet lakini kuna watu wanatamani hawawezi, sijui umewasaidia nini. Wengine wanatumia hata net za maofisini bure wakati kuna watu wanatamani hawawezi.
jaribu kuelewa kuwa hapa duniani haitakuja kuwezekana watu wote tukawa sawa. Tunaishi mtaa mmoja na wote tunalipa same tax to the government lakini uwezo wetu na hata huduma kwetu huko huko mitaani inatofautiana. Hatuwezi kuwa sawa hata siku moja watu wote. Bado wahitaji wataendelea kuwapo na wenye uwezo wataendelea kuwepo. Na wote tunaishi mtaa mmoja huo huo.
sijui kama umeelewa nini hasa point yangu.
Kweli hawa ni watu wa Mungu kweli?
MaxShibe hata ukifanyaje, ujanja au elimu ya kutapeli mpaka kupata hammer huwezi. Sijui kama utakwenda kupata Degree ya utapeli katika chuo cha injili huko massachust Marekani.
Nawe lako utagawiwa lini?Yesu anagawa Mahammer. Nashukuru kuwa umeelewa kuwa mimi sina elimu ya ujanja ujanja, kazi yangu ni elimu iliyo hai, na kupata kiuhalali.
Zaidi ya hapo, hakuna hata sehemu moja, kwenye Biblia inayo mkataza Mchungaji au Mwinjilisti kuwa na vitu vya kifahari.
Soma maandiko ya Yesu juu ya matajiri, nafikiri wachungaji ni wanaadam vile vile na si dhani kuwa hayo hayawahusu.Wewe.... hakuna mtu anayesema askofu/mchungaji anatakiwa awe maskini, we vipi bwana, umetokea wapi wewe? Sisi tunapenda sana Maaskofu wetu wajimudu kimaisha na kuwa na maisha kama ya watu wengine, ila inapotusikitisha ni pale waumini wake wanapokuwa na shida za hali ya juu na bado yeye bila hiana anaendesha gari ambayo mafuta yake tu kwa siku yanaweza kulisha waumini 10 kwa siku 10. Unapoamua kujitoa nafsi yako kumtumikia Mungu basi mtumikie hii ni pamoja na kusaidia watu kimwili pia na sio kutumia sadaka za waumini kujinufaisha bila aibu.
Si wivu bali hali ya kipato cha waumini wako. Hata kama alipata msaada basi angewafikiria waumini wake kama kweli ana upendo.Tatizo la wengi wasiojuwa jinsi ya kumiliki mema ni KUJAA WIVU MWINGI usiokuwa na faida kwao, hujui huyu mtu aliumia kiwango gani mpaka kuja kumiliki Hammer mnachojuwa ni kubwabwaja bila mipaka, kuwa nalo yeye inakupunguzia nini wewe au unagain nini, nini hasa kikufanye mpaka umchunguze mtumishi wa watu, mimi sio pastor na sio muumini wa hapo,lakini naamini pastor wa kweli ana haki ya kumiliki zaidi ya hapo. anatakiwa na ndege yake pia.
wEWE UMESEMA na kwa hakika sijui kama jina lako ni Mubii au Nabii.Jamani naomba Wakristo msiyumbe kiimani. Kutoa sadaka ni kutimiza maandiko yaliyo katika Biblia. Kama Watumishi wa Bwana wanazitumia vibaya basi Mwenyezi Mungu atashughulika nao. Mkristo endelea kutoa kwa ajili ya kazi ya Bwana na utabarikiwa sana.
Kweli hawa ni watu wa Mungu kweli?
MaxShibe hata ukifanyaje, ujanja au elimu ya kutapeli mpaka kupata hammer huwezi. Sijui kama utakwenda kupata Degree ya utapeli katika chuo cha injili huko massachust Marekani.
Ndio hao hao.Massachust ndiyo wapi? Hakuna sehemu Marekani kwa jina hilo. Kuna Massachusetts.
Ndio hao hao.
Ndio state inayoongoza kwa ubora wa utoaji degree za utapeli katika mambo ya dini.Ndio hao hao wakina nani??? Massachusetts ni state siyo mtu sasa ina kuaje hao?
Ndio state inayoongoza kwa ubora wa utoaji degree za utapeli katika mambo ya dini.
Ukisoma huko hiyo degree unaheshimika, kwani unakuwa na kipaji cha juu kabisa cha viini macho.
Kuspel sio taabu la msingi ni ujumbe, kwani hata mji wetu mkuu wa zamani au jiji maarufu Tanzania ni wachache wanaoweza kuspell kikamilifu.It's hard to believe you because you couldn't even spell the place. So I doubt your words....I'm sorry.
We toa tu wala usiulize. Ha Ha Ha ......!!!!HAHAHAHA
kwa hiyo askofu anamiliki nyundo yenye thamani ya shs milioni miambili ushei hehehe
just kidin maana inakasirisha sana kuwakamua maskini kwa kujipa starehe duniani.
Hivi bank za mbinguni hazina money transfer ili tuwe tunatuma sadaka zetu straight halafu tunapeleka risit ktk vyombo vya sadaka?? hii itakomesha ufujaji wa hela zetu