Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,596
- 30,889
Waliokifanya kitendo kila wana laana.Ndo ajue huu ni wakati wa Viongozi wa dini kusimama na Wananchi kudai reforms za msingi kwa mifumo ya Taifa letu ili Taifa liendelee kusimama kama Taifa lenye haki, amani na maendeleo ya kweli.
Taratiiiiibu tutaongea lugha moja acha mvua iendelee kunyesha panapovuja pazidi kuonekana na radi zimeanza kupiga soon ule mijengo yao ya kishetani itaanza kupigwa na kuanguka, hakika lile koboaji la taifa litaufikia mwisho wake kwa maumivu makali sana.Ndo ajue huu ni wakati wa Viongozi wa dini kusimama na Wananchi kudai reforms za msingi kwa mifumo ya Taifa letu ili Taifa liendelee kusimama kama Taifa lenye haki, amani na maendeleo ya kweli.
Jambo jema kushutushwa binadamu mwenzio apofanyiwa kitendo cha kinyama. Kakwepa maneno mawili kwenye mazungumzo yake ambayo ni serikali na haki.View attachment 3324252
Mkuu w Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.
Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.
" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
Isha sema hawezi kuikemea serikali. Leo katoka wapi? Mimi ni Mluteri lakini sina imani na Mwalasusa..View attachment 3324252
Mkuu w Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.
Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.
" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
Kwa hiyo unapinga tamko lake?Isha sema hawezi kuikemea serikali. Leo katoka wapi? Mimi ni Mluteri lakini sina imani na Mwalasusa..
View attachment 3324252
Mkuu w Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.
Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.
" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
Na Bi Don Carleone Mkuu wa Mafia Gang kakaa kimya, anajifanya kiziwiView attachment 3324252
Mkuu w Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.
Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.
" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
Hafai kabisa ni mnafiki kama Lucas Mwashambwa na wote wanatoka SongweMalasusa amepiga kelele baada ya kuona mshale umegeuziwa kwao(viongozi wa dini), huyu mtu amekuwa mlamba miguu kiaina kwa muda mrefu.
Samia anatupeleka pabaya tumwahi.View attachment 3324252
Mkuu w Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima.
Askofu Malasusa alendelea kusema, jambo la Kusikitisha ni kuona Taifa linaendelea kushuhudia matukio ya kinyama yasiyostahili wanadamu wenye utu, kuyafanya dhidi ya mwanadamu mwingine.
" Kumvizia mtumishi wa Mungu kumetuumiza sana, si tu kwa vile ni mtumishi wa Mungu, lakini tunaona matukio haya yamevuka mipaka, ule woga na heshima imepungua sana" alisema Askofu Malasusa akizungumza na Upendo Media.
Wewe ulikiwa unapendekeza afanye nini!Hafai kabisa ni mnafiki kama Lucas Mwashambwa na wote wanatoka Songwe
Abadilike apambanie jamiiWewe ulikiwa unapendekeza afanye nini!
Kwa vipi, toa mfano.Abadilike apambanie jamii