Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 252
- 332
"Kwanza nianze na wachungaji, Sadaka hazipo Madhabahuni. Mungu Amesema atabariki kazi ya mikono yako. Utajiri wote upo kwenye ardhi. Madini yanapatikana kwenye ardhi, mafuta yanapatikana kwenye ardhi, ndio maana Mungu anamwambia Adamu: 'Uilime uitunze ili ule matunda yake.' Kwa hiyo ninachoweza kushawishi hata kwa watumishi wa Mungu – bado, tuwekeze kwenye kilimo."
— Askofu & Mchungaji Baganda
Jifunze kuhusu kilimo cha kibiashara na jinsi ya kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga hapa
👉 Rubaba Media
Tazama Video Nzima ya ujumbe huu YouTube kupitia RubabaTv
👉
View: https://youtu.be/yBqD5aRide4
Una maoni gani kuhusu kauli ya Askofu Baganda? Je, makanisa na watumishi wa Mungu wanapaswa kuwekeza kwenye kilimo?
Tuchangie mawazo!