moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
Hiyo kauli Utaipenda taratibu taratibu tuKWANI ASKARI SIYO RAIA? hii kauli ya RAIA Siipendi kama nini!
Hiyo kauli Utaipenda taratibu taratibu tuKWANI ASKARI SIYO RAIA? hii kauli ya RAIA Siipendi kama nini!
Sio kwamba keyboard imejiongeza hapa.....Mimi mwenyewe nishawahi mpopoa mmoja
Alitaka alete ukamanda kwa mchuchu wangu; sio kwa zile jabu nilizomlisha
Kwa iyo kw akili yako ya kawaida kabisa jamuhuri maana yake nini asee tembea duniani watu wa ajabu mno emu tufahamishe nini maaana ya jamuhuriHujui mambo ya jeshi nadhani hata JKT hukwenda (hujafika advanced level)
Askari yoyote (jwtz polisi,komandoo, n.k) aliekula kiapo akishavaa yale makombati sio raia /mwanachi ni JAMUHURI ile.
hahaha wewe sema imejiongezaSio kwamba keyboard imejiongeza hapa.....
Wewe uliyeko huko duniani unaweza niambia nini maana ya Federal?Kwa iyo kw akili yako ya kawaida kabisa jamuhuri maana yake nini asee tembea duniani watu wa ajabu mno emu tufahamishe nini maaana ya jamuhuri
Tunawaogopa bure tu hawa jamaa, muda mwingine zipigwe tuHao ni (KM) ni sawa na (FFU) au (MP).
Alafu kuwa mwanajeshi au askari wa jeshi lolote haimaanishi ndio unajua kupigana.
Kupigana ni uwezo wa mtu binafsi.
Kwanini huyu mzee miaka yote yupo tu jeshini kama waziri?vijeshi vya third world visivyo na discipline wala training
nani kawahi kuona wanajeshi wanapigana mtaani Ulaya?
Hussein Mwinyi ana hati miliki Uwaziri wa Ulinzi?
Kwa hiyo ndiyo unajidanganya kuwa baka baka wapo vizuri kuliko mtu yoyot?Hamna kitu Kama kicho...man to man show hawana lolote, sema wakiwa na vitendea kazi na wako wengi ndio balaa
Kibodi yako ina tabia ya kujiongeza....hahaha wewe sema imejiongeza
Ila usije thubutu ingia kwenye 18 zangu
Sita angalia ukamanda wako mkuu
hahahaMbona hamna hata kapicha? Yaani vurugu zooote hizo hasisindikizwi na kapicha? Lol![]()
Halafu nanunua na zawadi kwa mshindi kabisaaaaaaaaaaHili ni la kuchekesha we unasikitikaje?
Matukio kama haya ndio yanafanya mtaa uchangamke....mie huwa nikikuta hivi njiani nasimama hadi mwisho wa show
😂😂😂😂H
Halafu nanunua na zawadi kwa mshindi kabisaaaaaaaaaa
Mkuu hizi ni trick za kila mtu kujiona ni balaa, wala usizitilie maanani.Mmezidisha chumvi kuwasifia hawa jamaa. Hao watu hatari, sugu wanafikaje huko gerezani? Kumbuka mtu mpaka kufikia kufungwa ni hatua zipi zinakuwa zimepitiwa hapo katikati.
Katika mkondo wa sheria gereza ni chombo cha mwisho kumshughulikia mkosaji.Wapo waliomkamata, amekaa sero za polisi, amepelekwa mahakamani amerudishwa mahakamani mpaka anahukumiwa huyo mtu anakuwa si tishio tena.
Ukiangalia mifumo ya kule gerezani haimfanyi mtu kufanya lolote na akafanikiwa, labda atoke nje ya gereza. Kiujumla mtu aliyeko gerezani kama mifumo ya kule ikifuatwa haimfanyi mfungwa/mahabusu kuwa tishio kwa askari magerezaukilinganisha na anapokuwa nje ya gereza.